Tuesday, July 2, 2019

FURSA KATIKA SEKTA YA USAFIRISHAJI, UCHUKUZI NA UTALII

Sekta  ya  Usafirishaji  ni sekta  ya  mamilioni  ya  PESA  duniani  kote . Kila kukicha  watu  wanasafiri : kuwe na  mdororo  wa   kiuchumi  watu  watasafiri  hivyohivyo. Sasa  ni  kwanini  usitupie  jicho  lako  kwenye   sekta  hii  na  uanze   kutengeneza  PESA ? Kama   unataka   kufanya  uwekezaji   kwenye  sekta   hii.

Biashara  ya  Usafirishaji  ni  biashara   pana  ambayo  inajumuisha  magari  ya   abiria  na   magari  ya  mizigo. Ni  biashara  yenye  faida  sana , inayohitaji  MTAJI  mkubwa  na  usimamizi  wa  hali   ya  juu  ili  kudhibiti  WIZI   WA   MAPATO.


Kwa  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  zilizojificha katika SEKTA  hii ya  " USAFIRISHAJI  , UCHUKUZI  NA  UTALII JIUNGE  NA " DARASA  LA  SEMINA AU   " FURSA  AFRIKA  MASHARIKI BLOG "   KWA   KULIPA  ADA  YA  UANACHAMA  ili   uweze   Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA.

Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam , Afrika   Mashariki , Tanzania

WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539

EMAIL :  fursaafrikamashariki@gmail.com

No comments:

Post a Comment