Showing posts with label SIRI YA UTAJIRI. Show all posts
Showing posts with label SIRI YA UTAJIRI. Show all posts

Friday, July 10, 2015

KUWEKA AKIBA NI LAZIMA ILI KUJIPATIA MAENDELEO


Anza  kuweka   akiba  ya    T.Shs   1000  kila    siku.Tengeneza   kisanduku  na   tumbukiza  Tshs.  1000  kila  siku.Zikifika  Tshs.  50,000  kafungue   akaunti  ya   TAJIRIKA ,  kwenye  Benki  ya  "Standard  Chatered". Kisha   endelea   kuweka  Tshs.  30,000   kila  mwezi. Jinsi  mapato   yako   yatavyokuwa   yanaongezeka   tenga   asilimia  { 10% }  ya   mapato  yako   uweke   akiba  kila  mwezi.  Lengo  lako  liwe    ni  kuweka  Tshs  10,000  au  zaidi  kila  mwezi.
Fedha   unyoweka  ni    kama  unapanda  mbegu.KUMBUKA  HII   NDIYO   HATUA  KUELEKEA  UTAJIRI.Faida  katika  benki   hii   ni  kubwa.Inaanzia  asilimia   6.5%  kwa  kianzio  cha  Tshs.  50,000  hadi   5,000,000   na   asilimia  10%  kwa  kiwango  kinachozidi     Tshs.  10,000,000.Fedha   utakazoziweka  huko  usiziguse  mpaka   ukiona  zimekuwa   nyingi  ndipo   utaamua na  kupanga  UKAZIWEKEZE     SEHEMU  GANI . FANYA   HIMA  NDUGU  YANGU  MTANZANIA KUWEKA  AKIBA .