BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Showing posts with label SIASA. Show all posts

Friday, July 21, 2017
Saturday, July 11, 2015
NGUVU YA KUSHAWISHI KATIKA SIASA
WANASIASA WASIOJUA HUANGUKA
DK JOHN MAGUFULI ANA UWEZO MKUBWA WA KUSHAWISHI
Mtu maarufu au anayevutia ana nguvu kubwa zaidi ya kushawishi kuliko asiye maarufu au asiyevutia. Wanasiasa wanaojua nadharia ya ushawishi wanalifahamu sana hili.
Kwa mfano WAZIRI WA UJENZI , DKT JOHN MAGUFULI , ni kiongozi ambaye amekuwa ni kivutio kikubwa sana kwa wananchi wengi nchini Tanzania kutokana na utendaji wake ulio dhahiri unaonekana. Na ana uwezo mkubwa sana wa kushawishi.
Magufuli ni mmoja wa wanasiasa nchini ambao wamejipambanua kama wachapakazi –sifa inayoonekana kuwa adimu miongoni mwa kada ya watawala waliopo sasa.
Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa.
Rais Kikwete alikuwa akifurahi kusafiri mikoani na waziri wake huyo kwa sababu wafuasi wa vyama vya upinzani hawakuwa wakizomea wakati Magufuli akizungumza
Tunamshukuru sana mheshimiwa RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE kwa kumchagua mrithi wake mahiri ili aendeleze yale mazuri aliyoyafanya katika kipindi chake cha miaka 10 .Kwa maoni yangu kama DKT JOHN MAGUFULI atachaguliwa kusimama kama mgombea pekee wa uraisi kwa kweli CCM itashinda kwa ushindi wa kishindo kama kile kipindi
cha uchaguzi kilichopita wakati wa mheshimiwa RAISI JAKAYA KIKWETE mwaka 2005. CCM OYEE ! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI ! MUNGU IBARIKI TANZANIA ! MUNGU IBARIKI AFRIKA !
NGUVU YA KUSHAWISHI
KUSHAWISHI watu katika jamii mbalimbali duniani kumeongezeka sana na kufikia kiwango cha juu sana katika karne hii.USHAWISHI mwingi ni ule wa kuwataka watu wabadili mitizamo yao katika masuala mbalimbali , ya kijamii , kisiasa na kiuchumi.
Hata hivyo , si wengi wetu miongoni mwetu ambao wanajua mambo ya msingi kuhusu ushawishi , wakiwemo WAFANYABIASHARA na WANASIASA. Katika umbumbu huo watu wamejikuta wakishindwa kupata yale waliyoyatarajia.Hilo halipo kwa WAFANYABIASHRA na WANASIASA , bali hta kwa watu binafsi katika ushawishi wao kuhusu masuala mbalimbali.
UTAFITI kuhusu Ushawishi unaonyesha kwamba, watu wanakuwa rahisi zaidi kushawishika pale ambapo mawazo yao HUHAMISHWA. Hii ikiwa na maana kwamba , mawazo yao huondolewa kwenye kile walichokuwa wakitarajia na tukio lingine kuliko pale ambapo mawazo yao yatakuwa kwenye tukio walilokuwa wanatarajia peke yake.
Kwa mfano, WANASIASA wengi hupenda maandamano kabla ya kuhutubia . HATUA HII NI SUALA LA KISAIKOLOJIA ZAIDI KULIKO SIASA. Kwa kuhamisha mawazo ya wananchi kutoka kwenye HOTUBA kwenda kwenye maandamano na baadae kwenye HOTUBA , kunatoa nafasi kubwa zaidi kwa wasikilizaji kuvutwa na hotuba inayotolewa.
Mwl Julius Kambarage Nyerere alikuwa ana uwezo mkubwa wa kushawishi katika hotuba zake.
JIFUNZE SIRI HII
Watu wasiojiamini ni rahisi sana kushawishiwa kuliko wale wenye kujiamini. Mtu anayetaka kushawishi jambo mahali fulani, kama ana uwezo wa kuwafahamu wale wasiojiamini , mara nyingi atawatafuta wao badala ya wale wenye kujiamini .Watu wa vijijini hawajiamini katika hawajiamini katika masuala mengi , hususani ya kisiasa .Ndiyo maana wamekuwa rahisi mara nyingi kushawishiwa kukubali mambo , hata yale yenye kuwaumiza. Wabunge wetu wa hapa Tanzania hutumia sana mbinu hii na hufanikiwa sana.
UNAFIKI kwa mshawishi ni kitu muhimu , hasa pale ambapo anaona watu anaotaka kuwashawishi wana mitizamo miwili kwa wakati mmoja. Kwanza , atausifu upande mmoja, na baadaye kutaja uzuri wa mtazamo mwingine.Hapo atakuwa amewaweka kwenye njia panda wale anaowashawishi. WANASIASA WEREVU HUTUMIA SANA MBINU HII.
Kwa mfano , Mbunge anaweza akapongeza wananchi waliojenga bondeni kwamba hali hiyo imetokana na serikali ya chama chake kutojali hali zao.Hapo hapo akaahidi kwamba serikali ya chama chake inajali watu wake , hivyo haitaki waishio mabondeni.Hivyo itahakikisha wanahama bila bughudha. Mbinu hii ya UNAFIKI inaweza pia kutumika kwenye jamii ya watu walio na mitizamo ya kiimani yenye kukinzana.
Kuzungumza kwa kasi ni mbinu pia ya kushawishi . Mtu anayezungumza haraka haraka na kwa ufasaha hushawishi zaidi kuliko yule anayezungumza polepole na kwa kusita.Binadamu wanaamini kwamba mtu anayezungumza haraka haraka, hasa kwenye hotuba , anajua kile anachozungumza , tofauti na yule mwenye kusitasita.WANASIASA MAARUFU duniani hufanya hivyo kuzungumza haraka haraka. Fuatilia na kuangalia hotuba za maraisi wastaafu wa Tanzania. Nani alikuwa anashawishi zaidi katika hotuba zake ? Ukiweza angalia pia hotuba mbalimbali za maraisi wa afrika na angalia ni nani wana mvuto katika hotuba zao ? UTAGUNDUA KITU !
Makala hii imeandikwa na MWL JAPHET MASATU anapatikana kwa namba 0716 924136 / 0755400128. EMAIL : japhetmasatu@yahoo.com

Magufuli
ni mmoja wa wanasiasa nchini ambao wamejipambanua kama wachapakazi
–sifa inayoonekana kuwa adimu miongoni mwa kada ya watawala waliopo
sasa.
Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.qyeDECws.dp

Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.qyeDECws.dpuf
Wakati
wagombea wengine walitumia muda mrefu kueleza upungufu uliopo ndani ya chama na
serikali na namna watakavyobadilisha mambo endapo watapata nafasi, Magufuli
hakuahidi chochote na badala yake akasema atafuata ilani ya chama. Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.qyeDECws.dpuf
Rais Kikwete alikuwa akifurahi kusafiri mikoani na waziri wake huyo kwa sababu wafuasi wa vyama vya upinzani hawakuwa wakizomea wakati Magufuli akizungumza
Rais
Kikwete alikuwa akifurahi kusafiri mikoani na waziri wake huyo kwa
sababu wafuasi wa vyama vya upinzani hawakuwa wakizomea wakati Magufuli
akizungumza. - See more at:
http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.XVJCUT8H.dpuf
Magufuli
ni mmoja wa wanasiasa nchini ambao wamejipambanua kama wachapakazi
–sifa inayoonekana kuwa adimu miongoni mwa kada ya watawala waliopo
sasa.
Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.qyeDECws.dpu
Wananchi wengi wamekuwa wakiomba awe raisi wa nchi na mungu amepokea maombi na amekuwa miongoni mwa tatu bora katika kinyang"anyiro cha uraisi mwaka 2015.Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.qyeDECws.dpu
Tunamshukuru sana mheshimiwa RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE kwa kumchagua mrithi wake mahiri ili aendeleze yale mazuri aliyoyafanya katika kipindi chake cha miaka 10 .Kwa maoni yangu kama DKT JOHN MAGUFULI atachaguliwa kusimama kama mgombea pekee wa uraisi kwa kweli CCM itashinda kwa ushindi wa kishindo kama kile kipindi
cha uchaguzi kilichopita wakati wa mheshimiwa RAISI JAKAYA KIKWETE mwaka 2005. CCM OYEE ! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI ! MUNGU IBARIKI TANZANIA ! MUNGU IBARIKI AFRIKA !
NGUVU YA KUSHAWISHI
KUSHAWISHI watu katika jamii mbalimbali duniani kumeongezeka sana na kufikia kiwango cha juu sana katika karne hii.USHAWISHI mwingi ni ule wa kuwataka watu wabadili mitizamo yao katika masuala mbalimbali , ya kijamii , kisiasa na kiuchumi.
Hata hivyo , si wengi wetu miongoni mwetu ambao wanajua mambo ya msingi kuhusu ushawishi , wakiwemo WAFANYABIASHARA na WANASIASA. Katika umbumbu huo watu wamejikuta wakishindwa kupata yale waliyoyatarajia.Hilo halipo kwa WAFANYABIASHRA na WANASIASA , bali hta kwa watu binafsi katika ushawishi wao kuhusu masuala mbalimbali.
UTAFITI kuhusu Ushawishi unaonyesha kwamba, watu wanakuwa rahisi zaidi kushawishika pale ambapo mawazo yao HUHAMISHWA. Hii ikiwa na maana kwamba , mawazo yao huondolewa kwenye kile walichokuwa wakitarajia na tukio lingine kuliko pale ambapo mawazo yao yatakuwa kwenye tukio walilokuwa wanatarajia peke yake.
Kwa mfano, WANASIASA wengi hupenda maandamano kabla ya kuhutubia . HATUA HII NI SUALA LA KISAIKOLOJIA ZAIDI KULIKO SIASA. Kwa kuhamisha mawazo ya wananchi kutoka kwenye HOTUBA kwenda kwenye maandamano na baadae kwenye HOTUBA , kunatoa nafasi kubwa zaidi kwa wasikilizaji kuvutwa na hotuba inayotolewa.
Mwl Julius Kambarage Nyerere alikuwa ana uwezo mkubwa wa kushawishi katika hotuba zake.
JIFUNZE SIRI HII
Watu wasiojiamini ni rahisi sana kushawishiwa kuliko wale wenye kujiamini. Mtu anayetaka kushawishi jambo mahali fulani, kama ana uwezo wa kuwafahamu wale wasiojiamini , mara nyingi atawatafuta wao badala ya wale wenye kujiamini .Watu wa vijijini hawajiamini katika hawajiamini katika masuala mengi , hususani ya kisiasa .Ndiyo maana wamekuwa rahisi mara nyingi kushawishiwa kukubali mambo , hata yale yenye kuwaumiza. Wabunge wetu wa hapa Tanzania hutumia sana mbinu hii na hufanikiwa sana.
UNAFIKI kwa mshawishi ni kitu muhimu , hasa pale ambapo anaona watu anaotaka kuwashawishi wana mitizamo miwili kwa wakati mmoja. Kwanza , atausifu upande mmoja, na baadaye kutaja uzuri wa mtazamo mwingine.Hapo atakuwa amewaweka kwenye njia panda wale anaowashawishi. WANASIASA WEREVU HUTUMIA SANA MBINU HII.
Kwa mfano , Mbunge anaweza akapongeza wananchi waliojenga bondeni kwamba hali hiyo imetokana na serikali ya chama chake kutojali hali zao.Hapo hapo akaahidi kwamba serikali ya chama chake inajali watu wake , hivyo haitaki waishio mabondeni.Hivyo itahakikisha wanahama bila bughudha. Mbinu hii ya UNAFIKI inaweza pia kutumika kwenye jamii ya watu walio na mitizamo ya kiimani yenye kukinzana.
Kuzungumza kwa kasi ni mbinu pia ya kushawishi . Mtu anayezungumza haraka haraka na kwa ufasaha hushawishi zaidi kuliko yule anayezungumza polepole na kwa kusita.Binadamu wanaamini kwamba mtu anayezungumza haraka haraka, hasa kwenye hotuba , anajua kile anachozungumza , tofauti na yule mwenye kusitasita.WANASIASA MAARUFU duniani hufanya hivyo kuzungumza haraka haraka. Fuatilia na kuangalia hotuba za maraisi wastaafu wa Tanzania. Nani alikuwa anashawishi zaidi katika hotuba zake ? Ukiweza angalia pia hotuba mbalimbali za maraisi wa afrika na angalia ni nani wana mvuto katika hotuba zao ? UTAGUNDUA KITU !
Makala hii imeandikwa na MWL JAPHET MASATU anapatikana kwa namba 0716 924136 / 0755400128. EMAIL : japhetmasatu@yahoo.com
Subscribe to:
Posts (Atom)