Saturday, July 11, 2015

NGUVU YA KUSHAWISHI KATIKA SIASA

                               WANASIASA  WASIOJUA   HUANGUKA
              DK   JOHN   MAGUFULI     ANA  UWEZO MKUBWA  WA  KUSHAWISHI


Mtu   maarufu   au    anayevutia    ana   nguvu   kubwa   zaidi   ya   kushawishi  kuliko     asiye      maarufu    au  asiyevutia. Wanasiasa   wanaojua   nadharia  ya   ushawishi wanalifahamu  sana   hili.
       Kwa   mfano WAZIRI  WA   UJENZI , DKT   JOHN   MAGUFULI , ni  kiongozi  ambaye  amekuwa   ni   kivutio kikubwa  sana  kwa   wananchi   wengi   nchini  Tanzania  kutokana  na  utendaji  wake  ulio   dhahiri  unaonekana. Na   ana  uwezo  mkubwa   sana  wa  kushawishi.
Magufuli ni mmoja wa wanasiasa nchini ambao wamejipambanua kama wachapakazi –sifa inayoonekana kuwa adimu miongoni mwa kada ya watawala waliopo sasa.
Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.qyeDECws.dp

        Magufuli ni mmoja wa wanasiasa nchini ambao wamejipambanua kama wachapakazi –sifa inayoonekana kuwa adimu miongoni mwa kada ya watawala waliopo sasa.
Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa. 



Magufuli ni mmoja wa wanasiasa nchini ambao wamejipambanua kama wachapakazi –sifa inayoonekana kuwa adimu miongoni mwa kada ya watawala waliopo sasa.
Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.qyeDECws.dpuf
        Wakati wagombea wengine walitumia muda mrefu kueleza upungufu uliopo ndani ya chama na serikali na namna watakavyobadilisha mambo endapo watapata nafasi, Magufuli hakuahidi chochote na badala yake akasema atafuata ilani ya chama.
Rais Kikwete alikuwa akifurahi kusafiri mikoani na waziri wake huyo kwa sababu wafuasi wa vyama vya upinzani hawakuwa wakizomea wakati Magufuli akizungumza
Rais Kikwete alikuwa akifurahi kusafiri mikoani na waziri wake huyo kwa sababu wafuasi wa vyama vya upinzani hawakuwa wakizomea wakati Magufuli akizungumza. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.XVJCUT8H.dpuf


Magufuli ni mmoja wa wanasiasa nchini ambao wamejipambanua kama wachapakazi –sifa inayoonekana kuwa adimu miongoni mwa kada ya watawala waliopo sasa.
Umaarufu wake uliibuka wakati wa utawala wa Rais Benjamin Mkapa na alifahamika kwa umahiri wa kukariri kumbukumbu mbalimbali za ujenzi wa barabara uliokuwa ukifanywa wakati wa Mkapa. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/ni-mmoja-wao#sthash.qyeDECws.dpu
 Wananchi   wengi   wamekuwa   wakiomba  awe    raisi   wa    nchi   na   mungu   amepokea   maombi   na  amekuwa   miongoni  mwa   tatu  bora  katika   kinyang"anyiro   cha   uraisi mwaka  2015.
        Tunamshukuru   sana   mheshimiwa  RAISI    JAKAYA  MRISHO   KIKWETE    kwa   kumchagua    mrithi    wake mahiri    ili   aendeleze   yale   mazuri    aliyoyafanya  katika   kipindi   chake   cha miaka   10 .Kwa   maoni   yangu     kama   DKT  JOHN   MAGUFULI   atachaguliwa   kusimama  kama   mgombea  pekee  wa   uraisi   kwa  kweli   CCM  itashinda   kwa  ushindi  wa  kishindo  kama  kile  kipindi
 cha   uchaguzi    kilichopita wakati wa  mheshimiwa   RAISI   JAKAYA   KIKWETE  mwaka   2005.  CCM  OYEE !   KIDUMU   CHAMA  CHA  MAPINDUZI ! MUNGU  IBARIKI   TANZANIA !  MUNGU   IBARIKI   AFRIKA !

NGUVU   YA  KUSHAWISHI
KUSHAWISHI  watu   katika  jamii  mbalimbali   duniani    kumeongezeka  sana  na   kufikia   kiwango  cha  juu  sana  katika  karne  hii.USHAWISHI  mwingi  ni  ule  wa  kuwataka  watu   wabadili  mitizamo   yao  katika   masuala  mbalimbali , ya   kijamii , kisiasa  na  kiuchumi.
  Hata   hivyo , si  wengi  wetu   miongoni   mwetu   ambao   wanajua   mambo  ya   msingi  kuhusu  ushawishi , wakiwemo  WAFANYABIASHARA na   WANASIASA. Katika   umbumbu   huo  watu  wamejikuta    wakishindwa    kupata  yale  waliyoyatarajia.Hilo  halipo  kwa  WAFANYABIASHRA  na  WANASIASA , bali   hta  kwa  watu   binafsi  katika  ushawishi  wao   kuhusu   masuala  mbalimbali.
 UTAFITI kuhusu   Ushawishi   unaonyesha  kwamba, watu  wanakuwa  rahisi   zaidi  kushawishika pale  ambapo  mawazo  yao   HUHAMISHWA. Hii  ikiwa  na   maana  kwamba , mawazo  yao huondolewa  kwenye  kile  walichokuwa  wakitarajia  na   tukio  lingine  kuliko  pale  ambapo  mawazo  yao  yatakuwa  kwenye  tukio  walilokuwa  wanatarajia peke  yake.
     Kwa   mfano, WANASIASA  wengi   hupenda    maandamano   kabla    ya    kuhutubia . HATUA  HII  NI  SUALA   LA   KISAIKOLOJIA  ZAIDI  KULIKO  SIASA. Kwa   kuhamisha    mawazo  ya  wananchi  kutoka  kwenye   HOTUBA  kwenda   kwenye   maandamano  na   baadae  kwenye  HOTUBA , kunatoa   nafasi   kubwa   zaidi  kwa  wasikilizaji     kuvutwa   na  hotuba   inayotolewa.


Mwl   Julius   Kambarage  Nyerere  alikuwa   ana   uwezo   mkubwa   wa    kushawishi  katika  hotuba  zake.

JIFUNZE   SIRI  HII
      Watu   wasiojiamini   ni  rahisi   sana   kushawishiwa   kuliko   wale   wenye  kujiamini. Mtu    anayetaka   kushawishi  jambo   mahali  fulani,  kama  ana    uwezo   wa     kuwafahamu   wale   wasiojiamini , mara  nyingi   atawatafuta  wao    badala  ya  wale  wenye   kujiamini .Watu   wa   vijijini  hawajiamini   katika  hawajiamini  katika  masuala   mengi ,  hususani  ya  kisiasa .Ndiyo  maana    wamekuwa  rahisi   mara  nyingi   kushawishiwa  kukubali    mambo ,  hata  yale    yenye   kuwaumiza. Wabunge   wetu   wa   hapa   Tanzania   hutumia  sana  mbinu  hii na   hufanikiwa    sana.
    UNAFIKI   kwa    mshawishi   ni  kitu   muhimu , hasa     pale   ambapo   anaona   watu   anaotaka   kuwashawishi    wana    mitizamo   miwili     kwa   wakati   mmoja. Kwanza , atausifu  upande   mmoja, na   baadaye    kutaja  uzuri  wa   mtazamo  mwingine.Hapo  atakuwa   amewaweka  kwenye  njia  panda   wale  anaowashawishi. WANASIASA  WEREVU   HUTUMIA   SANA  MBINU  HII.
     Kwa  mfano ,  Mbunge  anaweza   akapongeza  wananchi   waliojenga   bondeni  kwamba   hali   hiyo   imetokana  na  serikali  ya  chama chake kutojali  hali  zao.Hapo  hapo  akaahidi  kwamba  serikali    ya  chama   chake  inajali   watu   wake ,  hivyo  haitaki  waishio  mabondeni.Hivyo   itahakikisha   wanahama  bila bughudha. Mbinu   hii  ya   UNAFIKI  inaweza  pia   kutumika   kwenye  jamii   ya  watu  walio  na   mitizamo   ya    kiimani  yenye  kukinzana.
    Kuzungumza  kwa   kasi   ni  mbinu   pia   ya   kushawishi . Mtu   anayezungumza   haraka  haraka   na  kwa  ufasaha  hushawishi    zaidi   kuliko   yule    anayezungumza  polepole  na   kwa   kusita.Binadamu  wanaamini  kwamba   mtu   anayezungumza  haraka  haraka, hasa  kwenye   hotuba , anajua   kile  anachozungumza , tofauti   na   yule   mwenye  kusitasita.WANASIASA  MAARUFU  duniani   hufanya  hivyo  kuzungumza  haraka   haraka. Fuatilia   na   kuangalia hotuba   za  maraisi   wastaafu wa  Tanzania. Nani  alikuwa  anashawishi  zaidi  katika  hotuba  zake ?  Ukiweza   angalia  pia  hotuba  mbalimbali  za  maraisi  wa  afrika  na   angalia   ni   nani   wana  mvuto   katika  hotuba  zao ?  UTAGUNDUA   KITU !
      
Makala  hii  imeandikwa  na  MWL   JAPHET   MASATU  anapatikana   kwa  namba  0716 924136 /  0755400128.  EMAIL :  japhetmasatu@yahoo.com

No comments:

Post a Comment