BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Showing posts with label SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Show all posts
Showing posts with label SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Show all posts
Sunday, February 25, 2018
Monday, December 26, 2016
Tuesday, June 7, 2016
NDEGE INAYOTUMIA NGUVU ZA JUA YAFANYA SAFARI YA MWISHO
Image caption Solar Impulse Two
inatumia nguvu za jua
Ndege
inayotumia nguvu za jua imeondoka kutoka magharibi mwa Marekani inapoanza awamu
yake ya mwisho ya safari katika jaribio la kuizunguka dunia.
Safari
hiyo ya 12 inayofanywa na ndege hiyo inayojulikana kama Solar Impulse Two, ni
kutoka jimbo la Oklahoma kwenda mji wa Dayton jimbo la Ohio.
Safari
hiyo inatarajiwa kuchukua muda wa saa 17.
CHANZO CHA HABARI: BBC SWAHILI, 21 MEI 2016.
Subscribe to:
Posts (Atom)