Image caption Solar Impulse Two
inatumia nguvu za jua
Ndege
inayotumia nguvu za jua imeondoka kutoka magharibi mwa Marekani inapoanza awamu
yake ya mwisho ya safari katika jaribio la kuizunguka dunia.
Safari
hiyo ya 12 inayofanywa na ndege hiyo inayojulikana kama Solar Impulse Two, ni
kutoka jimbo la Oklahoma kwenda mji wa Dayton jimbo la Ohio.
Safari
hiyo inatarajiwa kuchukua muda wa saa 17.
CHANZO CHA HABARI: BBC SWAHILI, 21 MEI 2016.
No comments:
Post a Comment