UWEKEZAJI NI NINI ?
UWEKEZAJI ni njia ya kufanya FEDHA zako kuzaa FEDHA zaidi. Ili UWEZE kuwa MWEKEZAJI unapaswa kuwa na shughuli inayokuingizia KIPATO KWANZA halafu ndipo unaweza KUWEKEZA sehemu ya KIPATO chako ambacho kinaweza kutokana na MSHAHARA , KUFANYA BIASHARA na kadhalika.
ILI UWEZE KUWEKEZA UNAPASWA KUWEKA AKIBA SEHEMU YA MAPATO YAKO . Tunaweza KUJIFUNZA kutoka kwa WABABILON ambapo walitumia HEKIMA YA KUWEKA AKIBA ANGALAU ASILIMIA ( 10% ) YA MAPATO yao ya kila mwezi kwa LENGO la KUWEKEZA ifikapo mwanzoni mwa mwaka mpya , NIDHAMU hiyo ilifanya wengi wa WABABILON kuwa MATAJIRI na BABILON kuwa JIJI TAJIRI zaidi DUNIANI kwa wakati ule na hasa sasa imebakia kuwa SHERIA muhimu ya FEDHA inayomfanya mtu yeyote ANAYEITII KUWEZA KUTAJIRIKA.
FANYA FEDHA ZAKO ZIKUFANYIE KAZI BADALA YA KUWA MTUMWA WA FEDHA.
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ulicho kieleza in kweli tupu. Asante kwa ujumbe mzuri.
ReplyDeleteThanks. Nimeelewa maana ya uwekezaji
ReplyDeleteVizur Sana
ReplyDeleteKuwekeza ni njia bora, nimeelewa kiasi lakini bado ni maswali machache ya kujiuliza..
ReplyDeleteAhsante ��
ReplyDelete🔥
ReplyDeleteMaelezo mazuri sana
ReplyDelete