GUNDUA KIPAJI CHAKO UPATE PESA
Sasa hivi TANZANIA tuna bahati ya FURSA ZA KUJIENDELEZA kutokana na kuingia kwenye UCHUMI WA SOKO HURIA ambapo kuna watu na MAKAMPUNI wanasaka VIPAJI NA KUVIKUZA.
UNAWEZA kuwa na KIPAJI cha MUZIKI , USANII WA MAIGIZO , MWANDISHI WA HABARI , MREMBO , MWANASOKA au FANI yoyote ile.
MFANO MZURI wa ukuzaji wa VIPAJI ni KUIBUKA KWA BIASHARA YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA , ambapo watu wengi wameibuka baada kuendeleza VIPAJI vyao na kuweka kazi zao za MUZIKI katika KANDA ZA KASETI na za VIDEO ambazo zinapendwa kwa wingi. Hivyo , kuwapatia umaarufu na UTAJIRI.
KAMA una MTAJI na KIPAJI changamka.ANZA KUTAFUTA NAMNA YA KUJIENDELEZA Unaweza KUPATA FEDHA.
WASANII wengi ULAYA ni MATAJIRI. Hata hapa kwetu TANZANIA tunaweza na INAWEZEKANA KUWA NA WASANII MATAJIRI.
TUACHE UVIVU !!
Asante kwa Kusoma Makala hii !! Mungu AKUBARIKI !!
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment