BIASHARA YA DUKA LA KANDA ZA MUZIKI
Biashara ya kanda za muziki ni biashara nzuri kwani SOKO LA MUZIKI ni kubwa kwa sasa. Bidhaa za biashara hii zimekuwa nyingi kutokana na MAENDELEO YA TEKNOLOJIA.
DUKA LA KANDA ZA MUZIKI linaweza kuwa na bidhaa kama :--- Kanda za kaseti , Kanda za Video , CD na DVD. Mmiliki wa duka la kanda za Muziki lazima awe na mapenzi na Muziki.
ASIKILIZE MATANGAZO , AFUATILIE MAENDELEO YA MUZIKI ili ajue ni nyimbo gani zinapendwa ili AENDE NA WAKATI.
MATATIZO ya biashara hii ni ushindani mkali uliopo kwani watu wengi wanapenda kuifanya biashara kwa sababu ni rahisi.
MATATIZO mengine ni WIZI WA KAZI ZA WASANII kwa kudurufu Kanda zao bila KIBALI kwa bei rahisi.
NI KOSA KUDURUFU / BURN KANDA BILA IDHINI YA MTUNZI.
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment