BIASHARA ya kutoa huduma za kitaalamu ni nzuri sana na ina mapato mazuri , inaweza kuleta UTAJIRI na MAISHA BORA. Ili ufanye biashara hii unapaswa kwanza KUSOMEA TAALUMA HUSIKA kwa kiwango kinachohitajika na WAHITAJI WA SOKO.
TAALUMA ambazo zina malipo mazuri ni UALIMU , UANASHERIA, UDAKTARI, UFAMASIA , UHASIBU , UFUNDI WA VIFAA VYA ELECTRONIKI N.K.
Unaweza kuanza kwa KUAJIRIWA kwenye ofisi inayotoa huduma ya fani yako ili UPATE UZOEFU NA SIRI YA BIASHARA HIYO.
kisha tafuta kuanza taratibu KUFANYA KAZI ZAKO BINAFSI. UKIONA BIASHARA YAKO INAENDA VIZURI ACHA KAZI NA UENDE KUFANYA BIASHARA YAKO KWA JUHUDI NA MAARIFA YAKO YOTE UTAFANIKIWA.
MUNGU AKUBARIKI MSOMAJI WA MAKALA HII.
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment