TUMIA MAISHA YAKO KUNUNUA ASETI NA
SIYO LAYABILITI
SHERIA namba moja ya kuwa TAJIRI , ni lazima kujua TOFAUTI kati ya ASETI na LAYABILITI , na UZINGATIE KUNUNUA ASETI.
ASETI ni kitu kinachoweka FEDHA katika POCHI yako wakati LAYABILITI ni kitu kinachotoa FEDHA kwenye POCHI yako.
Watu MATAJIRI wananunua ASETI , wakati WATU MASKINI na wale wa daraja la kati wananunua LAYABILITI wakifikiri wamenunua ASETI.
No comments:
Post a Comment