MWEKEZAJI
MWEKEZAJI ni mtu anayeweka FEDHA katika WAZO , MRADI au anayenunua VITEGA UCHUMI kwa matumaini ya KUPATA FAIDA katika kipindi cha MUDA MREFU.
VITEGA UCHUMI ambavyo MWEKEZAJI anaweza kununua vinajumisha HATI FUNGANI ( BONDS) , HISA KATIKA MAKAMPUNI ( SHARES ) , NYUMBA ZA KUPANGISHA , MASHAMBA , VIWANJA , VITO VYA THAMANI n.k.
PIA UNAWEZA KUWEKEZA KWA KUKOPESHA FEDHA ZAKO KWA MADHUMUNI YA KUPATA FAIDA KUPITIA RIBA.
No comments:
Post a Comment