Showing posts with label MAGUFULI NA HAPA KAZI TU !!. Show all posts
Showing posts with label MAGUFULI NA HAPA KAZI TU !!. Show all posts

Wednesday, May 4, 2016

DKT. ASHA ROSE MIGIRO ATEULIWA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA , MAY O4 ,2016


Taarifa kutoka Ikulu May 04 2016 imeeleza kuhusu uteuzi alioufanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, Rais Magufuli amemteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani. Asha-Rose Migiro ataapishwa kesho Alhamisi tarehe 05 Mei, 2016 katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.