Taarifa kutoka Ikulu May 04 2016 imeeleza kuhusu uteuzi alioufanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, Rais Magufuli amemteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Asha-Rose
Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe
ambaye amerudishwa nyumbani. Asha-Rose Migiro ataapishwa kesho Alhamisi
tarehe 05 Mei, 2016 katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.
HONGERA !!!! MAMA ASHA ROSE MIGIRO
ReplyDelete