Wazee wa Dar es Salaam katika Baraza la Wazee wa TANU na Mwalimu Julius Nyerere katika Uchaguzi Mkuu wa 1962. Masikitiko ni kuwa mashujaa hawa hadi leo nchi haijawatambua isipokuwa Nyerere peke yake. Kushoto ni Mwinjuma Mwinyikambi, Max Mbwana, Julius Nyerere na Mshume Kiyate picha ilipigwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1962.
CHANZO CHA TAARIFA : Mohamed Said Website.
Allah awarehemu wazee wetu hawa, lakini ni muhimu kutambua kuwa moja kati ya kasoro nyingi ya historia rasmi ni kuficha ukweli ili mtawala aliyepo kuonekana kuwa ni shujaa. Hapa Mwalimu amefanya dhulma kubwa na kuonesha uchache wa shukran kwa wale waliomsaidia hadi kufikia hapo alipofikia
ReplyDelete