Saturday, August 29, 2026

TUMIA FIKRA ZAKO KUFANYA MIUJIZA NA KUPATA CHOCHOTE UNACHOTAKA KWENYE MAISHA YAKO---NA MWL JAPHET MASATU ------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136 / + 255 755 400 128

Dunia  inaendeshwa   kwa   upacha , kwenye  DINI  kuna  MUNGU   na  SHETANI , kwenye   SAYANSI tuna   CHANYA  NA   HASI , kwenye   FALSAFA  tuna  WEMA  na  UOVU. Lakini  yote  haya  ni  hali  ya  FIKRA   ZETU . Kama  FIKRA  zetu zikisimamiwa  vizuri   zinaleta   matokeo  mazuri ,  kama   zisiposimamiwa   zinaleta  matokeo  mabaya. CHAGUA  kupeleka  Fikra  zako kwenye  kile   unachotaka  na  siyo  usichotaka ,  kwa  sababu   FIKRA  zinazotawala   AKILI   yako   ndizo   zinazoleta  matokeo  kenye  maisha  yako. (  MWL  /  COACH    JAPHET   MASATU 1976---2026 --TANZANIA---AFRIKA    MASHARIKI  )

TUMIA FIKRA ZAKO KUFANYA MIUJIZA NA KUPATA CHOCHOTE KWENYE MAISHA YAKO --NA MWL / COACH JAPHET MASATU ( CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136 / + 255 755 400 128

MAGUMU  tunayokutana   nayo  kwenye  MAISHA  ni  kwa  sababu  ya  kutokujua  nini  hasa  tunachotaka  na  pia  kutokujua  kile  kilichopo ndani  yetu. Ukishajua  kilichopo  ndani  yako  na  ukajua    kwa  hakika  nini  unataka ,  na  ukapeleka    FIKRA zako kwenye   hayo , hakuna  kitakachokushinda.  ( MWL /  KOCHA  JAPHET   MASATU  )