KUKODISHA VITI kwa ajili ya SHEREHE , HARUSI , MIKUTANO , KIPAIMARA n.k . ni biashara ambayo haikugharimu kitu zaidi ya KUNUNUA VITI na KUAZIMISHA.
TAFUTA CHUMBA , hata kimoja tu KINATOSHA. NUNUA VITI VYA PLASTIKI KAMA MIA TATU HIVI VYA KUANZIA. Kila kiti kinauzwa ELFU KUMI. kodisha kila kiti kimoja kwa shs. 300 /= kwa siku moja { saa 24 }.
Kwa mfano , Ukiazimisha viti 200 kwa siku moja tu utakuwa una shs. 60,000/ =. Hii ni mojawapo ya shughuli ya KUKUINGIZIA MAPATO AINA YA TULI ( PASSIVE INCOME ). Baadaye waweza kupanua biashara kwa kununua na MEZA , STULI , MATURUBAI , VYOMBO n.k.
MAPATO TULI ni mapato anayoyapta mtu pasipo kuwa na ulazima wa kushughulika au kufanya kazi kwa wakati huo. Yanatokana na kazi au shughuli uliyokwisha kufanya kitambo na kuendelea kupata mapato haya kimya kimya. Unayapata kutokana na vitega uchumi ulivyo weka.
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment