AINA ZA STAILI ZA MAISHA
Watu huishi kwa staili za MAISHA zipatazo nne {4} :---
Hii ndio inatoa TASWIRA YA MAISHA UTAKAYOISHI BAADAYE . Kwa kujua aina yako ya staili ya Maisha itakusaidia kupata picha ya ujumla namna ambavyo MAISHA YAKO KIUCHUMI yatakuwa baada ya KUSTAAFU.
{1}. WALE WANAOISHI MAISHA YANAYOZIDI KIPATO CHAO.
{2}. WALE WANAOISHI MAISHA KULINGANA NA KILE WALICHONACHO TU.
{3}. WALE WANAOISHI KULINGANA NA KIPATO CHAO LAKINI HUTAFUTA NJIA MBADALA PANAPOKUWA NA ULAZIMA.
{4}.WALE WANAOISHI CHINI YA UWEZO WAO.
Kamwe haitatokea siku PESA ziwe nyingi sana mpaka uweze KUJIWEKEA AKIBA PASIPO KUJIBANA. Watu wote duniani wana majukumu ya kiuchumi lakini bado WANAJIWEKEA AKIBA mbali na majukumu
hayo.
LEO unaweza Kuchagua STAILI YA MAISHA unayoitaka KUISHI na hiyo ndio inayotoa
TASWIRA namna ambavyo MAISHA yako yatakuwa hapa DUNIA pamoja na MAISHA YA WANAO.
MTAZAMO WAKO kuhusu FEDHA na MAISHA kwa ujumla ni vitu vya muhimu sana zaidi kuliko FEDHA yenyewe au peke yake. WATU WENGI NI NI MASKINI WA FIKRA. Wana mtazamo kwamba wao ni MASKINI kitu ambacho huwafanya waishi maisha mabaya sana.
UNATAKIWA KUZISIMAMIA PESA ZAKO. KUZISIMAMIA PESA ZAKO MAANA yake ni kudhibiti katika namna ambayo zitakusaidia wewe KUISHI MAISHA MAZURI.
Asante kwa Kusoma Makala hii !! MUNGU AKUBARIKI SANA !!
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment