KAMA UNATAKA KUFANYA VIZURI SANA KATIKA MAISHA , HUNA BUDI KUWA TAYARI KUPAMBANA NA VIKWAZO VINGI. Kikwazo kikubwa kuliko vyote NI MAWAZO YAKO MWENYEWE , Yanayokusukuma kwenye Kwenye STAREHE na MAMBO RAHISI.
Kujinyima hukuwezesha KUSHINDA VIZUIZI NA KUFANYA VIZURI SANA. Ni vigumu kupata MAENDELEO YETU WENYEWE KWA SABABU KWA KAWAIDA TUNAPENDA NJIA RAHISI. LAKINI KWA KULITAMBUA HILI , TUNAIFANYA FURAHA YETU Kuwa kubwa zaidi pale tunapobaini JITIHADA ZETU ZIKITOA MATUNDA.
UWEZO---- Uwezo mkubwa kuliko wote ni ule wa kuishinda nafsi yako mwenyewe.
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
No comments:
Post a Comment