Ukiwa na UJASIRI pekee hutaweza kufanya kazi barabara. Vilevile ukiwa na UMAIZI peke yake , huwezi kuwa na UJASIRI wa kutosha kukabiliana na mambo mapya.
KAZINI tunahitaji mtu mwenye sifa kinzani za UJASIRI NA UMAIZI na mwenye kujua jinsi ya kutumia vyema kila moja ya sifa hizo katika mazingira tofauti .
NI MATUMAINI YANGU KWAMBA MTU TIMILIFU NI YULE MWENYE UMAIZI MKALI MITHILI YA WEMBE , NA ALIYEKWISHAPATA UJASIRI WA DHATI KUPITIA TAJIRIBA ZA VIWANGO MBALIMBALI.
USHAURI WANGU TUJITAHIDI KUIMARISHA VIPAJI VYA AMA UJASIRI AU UMAIZI SAMBAMBA NA VILE TULIVYORITHI.
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment