Saturday, September 6, 2014

KAMWE USIKATE TAMAA.

MAFANIKIO  yanapatikana  pale  ambapo  mtu  anapokubali   kufanya  JITIHADA  ZA   MFULULIZO , HATUA--KWA--HATUA , hata   kwenye    MAMBO   yanayochosha    sana. Hili  linaweza   kusikika  kuwa   ni  jambo  lililorahisishwa , lakini    mtu  anayeendelea  KUFANYA    KAZI   KWA  UAMINIFU   kuliko    mwingine    YEYOTE , bila  shaka   atafanikiwa   kwenye    LENGO  LAKE.                                                               

No comments:

Post a Comment