AFYA , MADAWA na MATIBABU
ni eneo nyeti sana ambalo sio la kufanyia mzaha.SEKTA hii
ni muhimu sana kwa binadamu ndio maana hata katika kipindi
kigumu sana cha kiuchumi watu wanaweza kupunguza manunuzi ya
vitu vya starehe lakini hawawezi kubana matumizi kwenye sekta
hii. Ukweli ni kwamba mtu akikosa huduma sahihi kipindi cha
ugonjwa wake anaweza kupoteza maisha. Je, una ELIMU juu ya
maswala ya matibabu ? Ungependa kuwekeza kwenye sekta hii HATA
KAMA HAUNA ELIMU YA AFYA ? Mdau wangu , Rafiki Yangu Soma Na
Ujifunze fursa mbalimabali zinazopatikana kwenye sekta hii kwa
KUJIUNGA UANACHAMA.
MUHIMU : Ili kuendelea Kujifunza Zaidi na Kugundua FURSA mbalimbali zilizojificha katika SEKTA hii ya " AFYA , MADAWA NA MATIBABU " , jiunge na "FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na " DARASA LA SEMINA " kwa kulipa ADA YA UANACHAMA
( Tshs 10000 kwa Mwezi ) ili uweze Kuzigundua na kujifunza "
FURSA ZINAZOKUZUNGUKA " na Kuzifanyia Kazi na KUFANIKIWA.
Ndimi Rafiki na Kocha Wako Mwl Japhet Masatu , Dar es salaam ,Tanzania , Afrika Mashariki ,
Kama hujajiunga na " FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na "DARASA LA SEMINA " tuwasiliane Kwa Maelekezo Zaidi
WhatsApp / Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
ULIZA MASWALI , TOA MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO , CHANGAMOTO ,MASULUHISHO kwa Email hii :--
EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment