Mara kadhaa tumesikia watu wakisema "ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA ". Lakini
ni mara chache sana tumechukua MUDA kutafakari kwa kina
undani wa kauli hii. Pamoja na yote yanayosemwa, ukweli
utabaki kuwa kweli ndio nguzo pekee ya kumsimika mwanadamu
katika maisha.
ELIMU humpatia mtu
msingi wa kifikra na maarifa stahiki ya kuweza kupambanua
maisha , kufanya kazi vyema na kuwasiliana na watu. Tukiachlia
hayo , elimu ina faida nyingi sana , elimu itakufanya uishi
maisha yenye FURAHA, UHURU , KUJITEGEMEA , KUTAFSIRI NDOTO zako ,
ELIMU itakufanya ujiamini hasa pale unapoongea na watu,
hukuunganisha na dunia , kuelewa tamaduni mbalimbali za watu
duniani , pamoja na kukutayarisha kuwa na mafanikio. SEKTA YA
ELIMU ni sekta ya mabilioni ya pesa duniani kote. Vile vile
ni sekta pana na iliyojigawa sana kati ya sekta zote
naweza kusema.Ukianzia shule za awali , shule za msingi , shule
za kati , sekondari , vyuo vya ufundi kama vile VETA , vyuo vya
ualimu na vyuo vikuu utagundua ukweli kuwa ukubwa wa sekta
hii unabainisha wazi kabisa FURSA zilizopo kwenye SEKTA YA
ELIMU . Kwa ufupi ebu tuangalie fursa zilizopo kwenye sekta ya
elimu ambazo wewe MJASIRIAMALI unaweza kufanya leo na kupata
UTAJIRI
MUHIMU : Ili
kuendelea Kujifunza Zaidi na Kugundua FURSA mbalimbali
zilizojificha katika
'SEKTA YA ELIMU " , jiunge na "FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na " DARASA LA SEMINA " ( Google Classrom ) kwa kulipa ADA YA UANACHAMA
( Tshs 10000 kwa Mwezi ) ili uweze Kuzigundua na kujifunza "
FURSA ZINAZOKUZUNGUKA " na Kuzifanyia Kazi na KUFANIKIWA na hatimaye kupata UYAJIRI.
Ndimi Rafiki na Kocha Wako Mwl Japhet Masatu , Dar es salaam ,Tanzania , Afrika Mashariki ,
Kama
hujajiunga na " FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na "DARASA LA
SEMINA " ( Google Classroom ) tuwasiliane Kwa Maelekezo Zaidi
WhatsApp / Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
ULIZA MASWALI , TOA MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO kwa Email hii:-
EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment