Wednesday, July 31, 2019

NJIA 21 NA HATUA ZA KUCHUKUA ILI UWEZE KUPIGA HATUA NA KUFANIKIWA ZAIDI KUPITIA KILE UNACHOFANYA SASA -------------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

2 comments:

  1. Kabla hujaanza safari yako ya mafanikio makubwa, unapaswa kujua uimara na udhaifu wako. Unahitaji kujifanyia tathmini wewe mwenyewe na kutumia vizuri majibu unayoyapata baada ya tathmini hiyo.

    Watu wengi wamekuwa hawajifanyii tathmini hii muhimu sana kwao na hivyo wanaendesha maisha kwa mazoea, wasijue wapi pa kuweka nguvu zaidi na wapi pa kutegemea wengine.

    ReplyDelete
  2. PATA HASARA MWANZONI KUPATA FAIDA MBELENI.

    Kikwazo kikubwa cha ukuaji wa biashara imekuwa kushindwa kumshawishi mteja kununua kwa mara ya kwanza. Hivyo hapa ndipo unapaswa kuweka nguvu zako kubwa.

    Kwa sababu tayari una mkakati bora wa kutoa thamani kubwa kwa wateja wako, hawataweza kuona hilo mpaka pale watakaponunua kwako kwa mara ya kwanza.

    ReplyDelete