Friday, August 2, 2019

FURSA 42 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA SANAA NA UFUNDI---------------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

Watu  wengi   sana  katika  dunia  hii  wanaujuzi   mbalimbali  wa  kutengeneza   vitu  kwa  kutumia   mikono  yao.Lakini  ujuzi  huu  watu  wengi  bado   haujawapa  ahaueni  ya  maisha. MAISHA  yameendelea   kuwa  magumu  pamoja  na  ukweli   kuwa  FURSA  YA  SANAA , UBUNIFU   na   UFUNDI karibia  kila  mtu  anaayo. Kuna  watu  wamejaaliwa   VIPAJI   vizuri  sana, lakini   watu   hawa  hupoteza  ujuzi  wao   kwa  kutokujua  cha  kufanya.UTAFANYAJE  ili  kuwa  wa   watofauti  na  watu  wengine  ambao   bado  wanasubiri   MIUJIZA  YA   MAFANIKIO ? Ili  kufahamu   SEKTA  YA   "SANAA  NA  UFUNDI"  ina   FURSA   zipi mbalimbali   unazoweza  kufanya  kupitia  ufundi , sanaa  au  ujuzi  ulionao na   jinsi  ya  kutengeneza  PESA tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.


MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA   NISHATI    NA  MADINI"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa


  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 


Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

No comments:

Post a Comment