Friday, August 9, 2019

FURSA 13 ZA BIASHARA KATIKA USINDIKAJI WA VYAKULA------" Fursa Afrika Mshariki Blog "

Biashara  ya   Vyakula  ni  biashara  isiyoishiwa  soko   na  ina  uwanja  mpana  sana. Uzalishaji  na  Usindikaji  wa   Vyakula  ni  FURSA  inayolipa  sana.Kuna  wakulima  wengi  sana  asilimia  75%  ya   watanzania  ni  wakulima.Sio  TANZANIA  tu , lakini  hata   nchi  nyingine  zinazoendelea  hutegemea  KILIMO  kama  uti  wa  mgongo  wa  uchumi  wao. Wakulima  wengi  wanazalisha  mazao  na  kuyauza  kwa  kiwango  kikubwa  kipindi  cha  mavuno. Wanafanya  hivyo  kwa  kukosa  mbinu  ya  kuweza  kusindika  mazao  hayo  ili  yaje  yatumike   kipindi  cha  kiangazi. Ukiwa  MJASIRIAMALI  mjanja   kipindi hiki   ndicho cha  kuanza  kusindika  mazao  mengi  uwezavyo , ili  kipindi  cha  kiangazi  kikifika  uweze  kuishi  kama mfalme.  .Kuna   fursa   nyingi  sana  kwenye   "SEKTA  YA  USINDIKAJI  WA   VYAKULA" . Ili  kufahamu   baadhi  ya   FURSA  zilizopo   kwenye  sekta  hii   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )


MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA  USINDIKAJI  WA   VYAKULA"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa


  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 


Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

No comments:

Post a Comment