Sunday, October 27, 2019

KAMWE USIKATE TAMAA / PIGANIA UAIDILIFU ----------NA DR. KAZUO INAMORI

EPUKA NJIA RAHISI / PEPONI AU JEHANAMU------NA DR. KAZUO INAMORI

FUATA FALSAFA YAKO / UKWELI NA KANUNI ----------NA KAZUO INAMORI

MAZUNGUMZO NA DR. KAZUO INAMORI KUHUSU MTAZAMO.

ZINGATIA UNDANI WA JAMBO / TEGEMEA AKILI YAKO YA NDANI----NA KAZUO INAMORI

Saturday, October 26, 2019

TABIA 10 ZA MSHAHARA ZINAZOKUFANYA UENDELEE KUWA MASKINI

1. Mshahara haujawahi kutosha.
2. Ongezeko la mshahara huwa haliendani na ukuaji wa gharama za maisha.
3. Mshahara huwa unaleta uteja, unapozoea kupokea kila mwezi unakuwa kama mlevi.
4. Mishahara huwa haikutani.
5. Mshahara hutengeneza tabia ya ukopaji sugu ambayo inakuwa mzigo zaidi.
6. Mshahara ni rushwa unayopewa ili usiishi ndoto zako.
7. Mwajiri anakulipa kiasi kidogo kiasi kwamba hutaacha kazi.
8. Mshahara unatengeneza wategemezi wengi, unapokuwa na mshahara kila mtu anajua lini umeupata.
9. Huwezi kutajirika kwa mshahara, bali utatajirika kwa kile unachofanya na mshahara huo.
10. Watu wengine ndiyo wanaoamua kiasi gani cha mshahara ulipwe.

Thursday, October 24, 2019

TARATIBU ZA KISHERIA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA BIASHARA-------------Fursa Afrika Mashariki Blog

KUWA MWAMINIFU KWA KILA SIKU / MAZUNGUMZO NA DR. KAZUO INAMORI KUHUSU JITIHADA

KWA NINI TUFANYE KAZI ? / SHINDA VIKWAZO --------NA DR. KAZUO INAMIORI

MAKINIKIA JAMBO MOJA----FUNGUA NJIA YAKO MWENYEWE------NA DR. KAZUO INAMORI

AKILI NZURI, MWILI MZURI ------ISHI MAISHA YA KUJIHOJI-------NA DR. KAZUO INAMORI

FUNGUA ENZI MPYA----IPENDE KAZI YAKO ---------------NA DR. KAZUO INAMORI

Friday, October 18, 2019

UTAJIRI NI ZAO LA FIKRA , SIYO ZAO LA FEDHA

Wengi hufikiri utajiri unaanzia kwenye fedha, lakini hilo siyo sahihi. 
Na ukitaka kudhibitisha hilo, angalia wale wanaopata fedha nyingi kwa wakati mmoja, mfano wanaoshinda bahati nasibu, wanaorithi mali na wanaopata mafao, ndani ya muda mfupi hujikuta wamepoteza fedha zao zote.
Utajiri ni zao la fikra, wanaotajirika wana namna ya tofauti ya kufikiri ambayo masikini hawana. Ndiyo maana kama leo fedha zote duniani zitagawanywa sawa ka kila mtu, baada ya muda mfupi zitarudi kwa wachache matajiri.
Kama ungependa kujifunza namna sahihi ya kufikiri itakayokupeleka kwenye utajiri, JIUNGE   NA  DARASA  LA  SEMINA---GOOGLE  CLASSROOM  ujifunze Kila  Siku  kwa  kulipia  ADA  ya  shs  10000  tu   kwa  mwezi. 



Tuwasiliane  kwa WhatsApp / Call / Message +255 716 924 136 /  + 255 755 400 128   /    + 255 688 361 539 

Kocha  Mwl  Japhet  Masatu, Dar  es  Salaam, Afrika   Mshariki ,  Tanzania

UTATUZI WA MATATIZO NA VIKWAZO KATIKA BIASHARA--------Fursa Afrika Mashariki Blog

UTUNZAJI HESABU ZA BIASHARA NA KUMBUKUMBU-------Fursa Afrika Mashariki Blog