Thursday, October 30, 2014

Udereva Wa Kujihami Na Eng. Hans T. Mwaipopo


Nguvu Ya Pesa Na Greg O. Iyoha.


Elimu Ya Ujasiliamali Kwa Vitendo Na Emmanuel Maige.


Msinyimane Na Mkumbo G Mitula.


Mbinu Za Mjasiriamali Na Gwakisa Balele.


Saikolojia Ya Maisha Na Mapenzi Na zubagy Akilimia.


Saikolojia Ya Maisha Na Mapenzi Na Zubagy Akilimia.


MADHARA YANAYOTOKANA NA KUTOA MIMBA.

{1}.Kifo.
{2}.Saratani  Ya  Mlango  Wa    Kizazi, Mifuko  Ya   Mayai  Na  Ini.
{3}.Kutoboka  Kwa   Mfuko  Wa   Uzazi.
{4}.Kuchubuka  Kwa  Mlango  Wa   Kizazi.
{5}.Kuzaa  Watoto  Walio  Na   Maumbile   Ya  Ajabu.
{6}.Kuzaa  Watoto  Wenye  Ulemavu  Katika  Mimba   Zinazofuata.
{7}.Afya  Dhaifu.
{8}. Matatizo   Ya  Kisaikolojia.

JINSI YA KUANZISHA BIASHARA NA KUFANIKIWA BILA YA KUWA NA MTAJI

{1}.Jiwekee  Lengo  la  lile  unachotaka  kufanya.
{2}.Unaweza  Kuwa   Dalali /  Simama  Imara.
{3}.Kuwa   Mwaminifu. Uaminifu  unatoka  Moyoni  Na   S i   Mdomoni.
{4}Jitume  Katika  Ajira   Ndogo.
{5}.Uza   Vifaa  Usivyotumia ili   kupata    MTAJI.
{6}.Andikia  Vyombo  Vya  Habari.
{7}. Kusanya  Chupa  Za  Plastiki.
{8}.Anza  Biashara   Yako.
{9}.Shikilia  Malengo  Yako.
{10}.Panua  Biashara  Yako.
{11}.Tulia   Eneo   Moja.
{12}.Sajili  Biashara  Yako.
{13}.Endelea  Kuepuka  Vishawishi.
{14}.Endelea   Kupunguza   Gharama  Zisizo   Na   Ulazima.

Wednesday, October 29, 2014

UCHAWI Unavyokupata na Kujikinga Na Munga Tehenan.


Utashi Wa Mafanikio Na Kazuo Inamori


Historia Na Maisha Ya Wababe Wa Dunia Na Zubagy Akilimia.


Historia Na Maisha Ya Wababe Wa Dunia Na Zubagy Akilimia.


Nguzo Yako, Mwanga Wa Mjasiriamali


Nguzo Yako Mwanga Wa Mjasiriamali


Dalili Za Wanawake Wanaotoka Nje

{1}.Kuchelewa.
{2}.Kubadili  maeneo.
{3}.Ununuzi  Usio  Wa    Kawaida.
{4}.Kuzungumzia   Kuachwa.
{5}.Kusitisha  Uaminifu.
{6}.Kuacha   Kuvaa   Pete.
{7}.Kuonesha  Wasiwasi.
{8}.Kuanzisha   Vurugu.

Dalili za Wanaume Wanaotoka Nje

{1}.Kuongeza  Upendo  ghafla.
{2}.Kuona   Kasoro   Nyingi   Za   Mke.
{3}.Mabadiliko   ya  Kipato.
{4}. Kujibadili   Sana.
{5}.Alama  na   harufu  mpya.
{6}.Mazungumzo   Ya   Simu.
{7}.Ratiba  ya   Kazi  Kubadilika.
{8}.Mbele   ya  Wanawake  Wengine.

Sunday, October 5, 2014

JAPHET MASATU ALBUM NO 9

MY   BEST   FRIEND----- 2014

JAPHET MASATU ALBUM NO 8

JAPHET MASATU ALBUM NO 7

MWL.   JAPHET    MASATU   ALIZALIWA   TAREHE   23 / 04/ 1976   AT  4:10  A.M. -- OCEAN  ROAD  HOSPITAL ,  DAR  ES  SALAAM ,  TANZANIA. PICHANI   AKIWA  NA   MIEZI   MINNE   TOKA  AZALIWE.

JAPHET MASATU ALBUM NO. 6

Huyu   ni   MWL.  JAPHET   MASATU   Ilikuwa  tarehe    25  April  1979    Jumatano  saa  11  jioni  nilipopiga   picha    hii . Hapa   nilikuwa  na   Umri  wa   miaka    4. Nilizaliwa   tarehe    23----04---1976 ,  HOSPITALI   YA   OCEAN  ROAD ,  DAR   ES   SALAAM , TANZANIA.

JAPHET MASATU ALBUM NO 5

MWL.  JAPHET    MASATU   AKIWA   MAENEO  YA   MLIMANI   CITY,  DAR   ES   SALAAM, TANZANIA   KATIKA   SEMINA   YA   VIJANA  "BADILISHA   FIKRA"

JAPHET MASATU ALBUM NO. 4

MWL.  JAPHET   MASATU    KATIKA   PICHA   YA  PAMOJA   NA   DR.  KISSUI   KATIKA   SEMINA   YA  VIJANA   MLIMANI   CITY , DAR  ES   SALAAM, TANZANIA   AUGUST  2013.

JAPHET MASATU ALBUM NO 3.

MWL.  JAPHET   MASATU  AKIWA   MAENEO   YA   MLIMANI   CITY , DAR  ES  SALAAM, TANZANIA   KATIKA  SEMINA  YA   VIJANA,  "BADILISHA   FIKRA"  AUGUST   2013.

JAPHET MASATU ALBUM NO. 2

MWL.  JAPHET   MASATU  AKIWA   MAENEO   YA   MLIMANI   CITY , DAR  ES  SALAAM, TANZANIA   KATIKA   SEMINA   YA   VIJANA ,  AUGUST   2013.

Japhet Masatu Album No 1

MWL. JAPHET   MASATU  KULIA  AKIWA   NA  PROFESSA    GABRIEL  KUSHOTO , MKURUGENZI  WA  VIJANA  TANZANIA   KATIKA   SEMINA   YA  VIJANA, MLIMANI   CITY , DAR  ES  SALAAM   , TANZANIA    AUGUST   2013.

Friday, October 3, 2014

BAKHRESA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA AFRIKA YA MASHARIKI.

             HISTORIA   YA  MAISHA   YA   BAKHRESA

SAID  SALIM  BAKHRESA  alizaliwa   mwaka  1949    mjini   ZANZIBAR ,  alisoma ELIMU  YA  MSINGI   hadi  alipofikia  umri  wa   miaka  14 ,  ambapo   aliacha   shule  kutokana  na  maisha  na Maisha  ya   familia  kuwa   magumu  hivyo  kujiingiza  katika   BIASHARA  ili   aweze  kuhudumia   familia   katika   mahitaji   kama   chakula     baada   ya  baba  yake  kukabiliwa  na   madeni. 
  KATIKA  miaka  ya  1960 ,  wakati   TANZANIA   ilipokuwa  nchi    ya  KIJAMAA  na  KENYA   ikifuata   siasa   za  KIBEPARI ,  BAKHRESA  aliweza  kununua   mabaki   ya  mazao  ya   baharini   kama , mifupa  na   magamba  ya   viumbe   wa   baharini  na  kuyauza  MOMBASA.Kutokana    na   tofauti  ya  kifedha  iliyokuwapo  wakati   huo,  aliweza  kununua  ngozi  za   viatu  kutoka   KENYA   na   kuzitumia  kushonea   VIATU  hapa  TANZANIA.Baadae  alifanya  BIASHARA   YA  VIAZI ,  MIKATE  na   ICE   CREAM.
   katika  miaka   ya  1970,s  BAKHRESA  alifungua  na    kuendesha   BIASHARA  YA   MGAHAWA. MGAHAWA  huo   aliununua   kutoka   kwa   mgeni   wa   KIHINDI   ukiwa    na  na   jina   la   AZAM , jina   ambalo   analitumia  kama  nembo {  brand }  ya  bidhaa  zake  kwa   sasa . KATIKA  miaka   ya  1990,s  alianza    UWEKEZAJI   KATIKA   VIWANDA.