Saturday, November 23, 2019

VITUKO VYA TAREHE ZA MSHAHARA------- ??????

Tarehe za mshahara huwa zina vituko sana. Mtu anaondoka nyumbani hakuwa na mpango wa kununua chochote, lakini anarudi na furushi ka vitu kemkem alivyonunua, ambavyo anajishawishi ni muhimu. Ila umuhimu huo unakuwa umeonekana kwa sababu mtu anakuwa na fedha. 

Lakini pesa zinapoisha, mtu anarudi kwenye maisha ya unyonge, maisha ya uombaomba, maisha ya kukopa. Je umechoshwa na hali hiyo? 

Kama jibu ni ndiyo basi KARIBU    UJIUNGE  NASI  KATIKA   DARASA   LA   SEMINA---ONLINE ( Google  Classroom )    KILA   SIKU   KWA  ADA  YA   Tshs  10000  kwa  mwezi , ndani ya DARASA  LA  SEMINA  utajifunza jinsi unavyoweza kutengeneza kipato cha pembeni ya mshahara wako na ukawa na maisha mazuri wakati wote na siyo tu tarehe za mishahara. 

Kwa  maelekezo   Zaidi  Wasiliana  na  Mwl.  Japhet  Masatu kwa  namba  zifuatazo :  WhatsApp / Call /  Meseji +255 716 924136 /  + 255 755 400 128 . 
Tengeneza maisha yenye msimamo sasa na acha kuishi mwisho wa mwezi kwa mwisho wa mwezi.
                UJINGA   NI   MZIGO.

1 comment:

  1. Usisikilize ushauri wa watu waliofulia...


    Watu wasiokuwa na fedha, huwa wana ushauri hasi kuhusu fedha, hivyo kaa nao mbali sana na usisikilize ushauri wao.
    Ushauri wao ni fedha siyo kila kitu, fedha hainunui furaha, wenye fedha wana namna wanafanya na mengine mengi. Yote hayo hayana msaada kwako.
    Hata kama fedha siyo kila kitu, unahitaji kuwa nazo ili kupata unachotaka. Hata kama fedha hainunui furaha, je umasikini unaleta furaha?
    Na wenye fedha hawana namna, bali wana maarifa tofauti inapokuja kwenye swala la fedha. Maarifa ambayo hata wewe unaweza kuyapata na yakakusaidia sana.

    ReplyDelete