BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Thursday, September 25, 2014
ELIMU YA UWEKEZAJI --- MWEKEZAJI NI NANI ?
MWEKEZAJI
MWEKEZAJI ni mtu anayeweka FEDHA katika WAZO , MRADI au anayenunua VITEGA UCHUMI kwa matumaini ya KUPATA FAIDA katika kipindi cha MUDA MREFU.
VITEGA UCHUMI ambavyo MWEKEZAJI anaweza kununua vinajumisha HATI FUNGANI ( BONDS) , HISA KATIKA MAKAMPUNI ( SHARES ) , NYUMBA ZA KUPANGISHA , MASHAMBA , VIWANJA , VITO VYA THAMANI n.k.
PIA UNAWEZA KUWEKEZA KWA KUKOPESHA FEDHA ZAKO KWA MADHUMUNI YA KUPATA FAIDA KUPITIA RIBA.
ELIMU YA UWEKEZAJI --UWEKEZAJI MAANA YAKE NI NINI ?
UWEKEZAJI NI NINI ?
UWEKEZAJI ni njia ya kufanya FEDHA zako kuzaa FEDHA zaidi. Ili UWEZE kuwa MWEKEZAJI unapaswa kuwa na shughuli inayokuingizia KIPATO KWANZA halafu ndipo unaweza KUWEKEZA sehemu ya KIPATO chako ambacho kinaweza kutokana na MSHAHARA , KUFANYA BIASHARA na kadhalika.
ILI UWEZE KUWEKEZA UNAPASWA KUWEKA AKIBA SEHEMU YA MAPATO YAKO . Tunaweza KUJIFUNZA kutoka kwa WABABILON ambapo walitumia HEKIMA YA KUWEKA AKIBA ANGALAU ASILIMIA ( 10% ) YA MAPATO yao ya kila mwezi kwa LENGO la KUWEKEZA ifikapo mwanzoni mwa mwaka mpya , NIDHAMU hiyo ilifanya wengi wa WABABILON kuwa MATAJIRI na BABILON kuwa JIJI TAJIRI zaidi DUNIANI kwa wakati ule na hasa sasa imebakia kuwa SHERIA muhimu ya FEDHA inayomfanya mtu yeyote ANAYEITII KUWEZA KUTAJIRIKA.
FANYA FEDHA ZAKO ZIKUFANYIE KAZI BADALA YA KUWA MTUMWA WA FEDHA.

Tuesday, September 23, 2014
JE , WEWE UNAISHI STAILI GANI YA MAISHA ?
AINA ZA STAILI ZA MAISHA
Watu huishi kwa staili za MAISHA zipatazo nne {4} :---
Hii ndio inatoa TASWIRA YA MAISHA UTAKAYOISHI BAADAYE . Kwa kujua aina yako ya staili ya Maisha itakusaidia kupata picha ya ujumla namna ambavyo MAISHA YAKO KIUCHUMI yatakuwa baada ya KUSTAAFU.
{1}. WALE WANAOISHI MAISHA YANAYOZIDI KIPATO CHAO.
{2}. WALE WANAOISHI MAISHA KULINGANA NA KILE WALICHONACHO TU.
{3}. WALE WANAOISHI KULINGANA NA KIPATO CHAO LAKINI HUTAFUTA NJIA MBADALA PANAPOKUWA NA ULAZIMA.
{4}.WALE WANAOISHI CHINI YA UWEZO WAO.
Kamwe haitatokea siku PESA ziwe nyingi sana mpaka uweze KUJIWEKEA AKIBA PASIPO KUJIBANA. Watu wote duniani wana majukumu ya kiuchumi lakini bado WANAJIWEKEA AKIBA mbali na majukumu
hayo.
LEO unaweza Kuchagua STAILI YA MAISHA unayoitaka KUISHI na hiyo ndio inayotoa
TASWIRA namna ambavyo MAISHA yako yatakuwa hapa DUNIA pamoja na MAISHA YA WANAO.
MTAZAMO WAKO kuhusu FEDHA na MAISHA kwa ujumla ni vitu vya muhimu sana zaidi kuliko FEDHA yenyewe au peke yake. WATU WENGI NI NI MASKINI WA FIKRA. Wana mtazamo kwamba wao ni MASKINI kitu ambacho huwafanya waishi maisha mabaya sana.
UNATAKIWA KUZISIMAMIA PESA ZAKO. KUZISIMAMIA PESA ZAKO MAANA yake ni kudhibiti katika namna ambayo zitakusaidia wewe KUISHI MAISHA MAZURI.
Asante kwa Kusoma Makala hii !! MUNGU AKUBARIKI SANA !!

MAARIFA YA KUPATA PESA NA UTAJIRI --- GUNDUA KIPAJI CHAKO UPATE PESA.
GUNDUA KIPAJI CHAKO UPATE PESA
Sasa hivi TANZANIA tuna bahati ya FURSA ZA KUJIENDELEZA kutokana na kuingia kwenye UCHUMI WA SOKO HURIA ambapo kuna watu na MAKAMPUNI wanasaka VIPAJI NA KUVIKUZA.
UNAWEZA kuwa na KIPAJI cha MUZIKI , USANII WA MAIGIZO , MWANDISHI WA HABARI , MREMBO , MWANASOKA au FANI yoyote ile.
MFANO MZURI wa ukuzaji wa VIPAJI ni KUIBUKA KWA BIASHARA YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA , ambapo watu wengi wameibuka baada kuendeleza VIPAJI vyao na kuweka kazi zao za MUZIKI katika KANDA ZA KASETI na za VIDEO ambazo zinapendwa kwa wingi. Hivyo , kuwapatia umaarufu na UTAJIRI.
KAMA una MTAJI na KIPAJI changamka.ANZA KUTAFUTA NAMNA YA KUJIENDELEZA Unaweza KUPATA FEDHA.
WASANII wengi ULAYA ni MATAJIRI. Hata hapa kwetu TANZANIA tunaweza na INAWEZEKANA KUWA NA WASANII MATAJIRI.
TUACHE UVIVU !!
Asante kwa Kusoma Makala hii !! Mungu AKUBARIKI !!

Monday, September 22, 2014
MAARIFA YA KUPATA PESA NA UTAJIRI ----- NYUMBA ZA KUPANGISHA.
NYUMBA ZA KUPANGISHA
KUJENGA NYUMBA ZA KUPANGISHA ni njia mojawapo unayoweza kuitumia katika KUWEKEZA. Utafiti niliowahi kufanya kwa kuchunguza matajiri ninaowafahamu ni kwamba kila mmoja anamiliki wastani wa nyumba tano. Moja kati ya hizo , anaishi yeye mwenyewe na nne ANAPANGISHA.
FAIDA ya KUWEKEZA kwenye nyumba ni kwamba , NYUMBA ZINA TABIA YA KUPANDA THAMANI pia KODI ZA NYUMBA zina tabia ya KUPANDA.
KUMBUKA pia ukiwa na HATI YA NYUMBA yaweza kutumika kama DHAMANA YA MKOPO.
MAPATO YA KODI YA PANGO ni ya uhakika. Hivyo humsaidia MTU asikwame hata kama BIASHARA zake zitayumba , na hivyo hawawezi KUKOSA FEDHA ZA CHAKULA NA MATUMIZI MENGINEYO.
SUALA LA KUWEKEZA linatakiwa lifanywe kwa Umakini Mkubwa na kupata USHAURI WA WATAALAMU WA MBINU ZA UWEKEZAJI.
UKIWA NA FEDHA ZA ZIADA TAFUTA NAMNA YA KUZIWEKEZA ILI UPATE FAIDA ZAIDI.
Asante kwa kusoma makala hii ! Mungu Akubariki !!

JE, NI LINI TUANZE MIPANGO YA KUSTAAFU ?
MIPANGO YA KUSTAAFU
Maandalizi kwa ajili ya MAISHA YA UZEENI ni lazima yaanze tangu ukiwa KIJANA na sio mpaka uanze KUZEEKA. MAISHA YASIYO NA MIPANGO ENDELEVU mpaka unapofikisha UMRI WA MIAKA 65 hayawezi KUFANIKIWA GHAFLA pindi unapostaafu.
ANZA SASA kujiwekea AKIBA na kuwekeza kwa ajili MAISHA YAKO YA BAADAYE KUANZIA SASA.
HAUTAKIWI KUSUBIRI mpaka upate PESA ndio uanze MIPANGO YA KUSTAAFU , bali unatakiwa UWE na mipango KABLA ili utakapopata KAZI AU PESA uwe na kazi ya KUITEKELEZA TU MIPANGO ambayo tayari ilishapangwa.
SIRI YA MAFANIKIO: Watu wenye MIPANGO kabla ya kupata PESA HUFANYA MAMBO MAKUBWA sana na mazuri pindi wanapopata PESA kuliko wale WANAOSUBIRI na KUANZA MIPANGO baada ya kupata PESA AU PINDI PESA ZINAPOKUWA TAYARI MEZANI.
Hata kama unakaribia KUSTAAFU au tayari umeshastaafu bado unayo nafasi. Kamwe huwa hakuna kuchelewa katika kufanya MABADILIKO chanya katika maisha yako. NI BORA KUCHELEWA KULIKO KUTOFANYA KAMWE { Better late than never }.
Inakadiriwa kwamba ukiachana na kiwango cha kipato , zaidi ya 70% ya waajiriwa wanakuwa wameishiwa kabisa kabla ya mwisho wa mwezi. Mara nyingi wanaanza maisha ya MADENI mpaka MSHAHARA mwingine unapokuwa tayari. Hata kama wewe ni miongoni mwa hawa bado una uwezo wa KUJIWEKEA AKIBA kwa ajili ya maisha yako baada ya kustaafu.
MAISHA UNAYOISHI SASA YANAASHIRIA AINA YA MAISHA UTAKAYOISHI BAADAYE.
Mungu Akubariki kwa Kusoma Makala hii.

Saturday, September 20, 2014
MAARIFA YA KUPATA PESA NA UTAJIRI--- KUNUNUA HISA.
KUNUNUA HISA
Kununua Hisa ni njia nyingine ya KUWEKEZA. Faida ya kununua HISA ni kwamba thamani ya FEDHA zako katika HISA hukua kutokana na ukuaji wa FAIDA YA KAMPUNI.
Kwa mfano, umenunua HISA 1,000 za kampuni fulani kwa bei ya Tshs 300 kwa HISA utalipa TShs 300,000/= thamani ya HISA zako zile zile zikipanda mara mbili ukiziuza utapata TShs 600,000 /= .
FAIDA nyingine ya kuwekeza katika HISA ni kupata GAWIO. Makampuni mengi hutengeneza mahesabu kila baada ya miezi 3 na kutoa GAWIO kwa wenye HISA.
HASARA ya kuwekeza katika HISA kuna wakati makampuni hupata HASARA na hivyo kutotoa GAWIO na HISA zinaweza kushuka thamani.

Subscribe to:
Posts (Atom)