BAADHI ya watu
wamekuwa wakiamini kuwa
hatuna budi kuwa
na BUSARA na
FURAHA zaidi kama
tungeishi kwa muda
mrefu , lakini ina maana
LENGO la msingi
ni kufanya maisha
kuwa mazuri zaidi , yenye maana
zaidi na ya
kifahari zaidi ?
Ni muhimu
zaidi kuishi vizuri
kuliko kuishi muda
mrefu ; UBORA WA MAISHA
yetu huchukua umuhimu
wa kwanza kuliko
UREFU WAKE , kwani MAISHA
ni Suala kama
la KUFANYA MAMBO
ZAIDI kuliko UREFU
WAKE.
Inawezekana ,
bila shaka , KUWA BORA
zaidi iwapo binadamu
ataweza kuongeza kiwango
chake cha kuishi
duniani , lakini kama mtoto
asiyefikia kikomo , MUDA una
umuhimu kuliko maisha
yake.
Inawezekana,
bila shaka , kuwa
bora zaidi iwapo
binadamu ataweza kuongeza
kiwango chake cha
kuishi duniani , lakini
kama mtoto asiyefikia
kikomo, muda una umuhimu
mdogo sana kuliko
maisha yake.
Siku zake
za kuishi hazina
budi kuamuliwa kwa
kuangalia ubora wake
badala ya urefu
wa kuishi , SAA zake
hazina budi kuamuliwa
kwa kuangalia FURAHA
anayoipata , si kwa idadi ,
nukta zake ziangaliwe
kwa mafanikio anayopata , na si
kwa hesabu.
MAISHA yetu
hayana budi kuwa
MINARA ya kile tunachofanikisha , na si
kumbukumbu za kila
siku za kiwango
kidogo cha MAFANIKIO.Tumezungukwa na
majanga yatokanayo na
maisha yasiyosimamiwa wala
kutumiwa vizuri.
Tunaangalia SAA
ambazo hazina budi
kuchangia katika maendeleo
yanayotuepusha na maisha
ya aina fulani
badala ya kuishi
katika maisha hayo.WATU
WENGI HUTAFUTA JINSI
YA KUPOTEZA MUDA BADALA YA
KUUTUMIA KUEPUKANA NA
MAISHA AMBAYO YANAWASUMBUA.
Hupoteza dakika
zao wakifanya mambo
madogo madogo wakitarajia
MAAJABU. Wanayaona MAISHA
kama kitu fulani
kinachotengenezwa kwa
kutumia tu UZOEFU
badala ya kuyaona
kama MMEA ambao
unahitaji KUTUNZWA na
KUPENDEZA.
Wako kama
wafanyakazi za mtulinga , ambao kwa
uchungu hupanga matofali
ya uzoefu moja
ya jingine bila
kuwa na uhakika
wa baadaye , ambapo wataweza
kuwa WASANIFU wazuri
wa ujenzi wenye
matumaini ya MAFANIKIO
makubwa maishani.
Binadamu ana
ZANA mbalimbali zinazomwezesha yeye
kupunguza mzigo wa
matatizo katika maisha
yake . Amekuwa mwenye MAFANIKIO
katika kila FANI
YA SANAA AU
SAYANSI isipokuwa ile
ya MAISHA. Hili
si janga kubwa
katika maisha
yetu ? Tunaweza kufanya
hivyo kwa vitu
vingi , ni wataalamu
katika NYANJA mbalimbali , lakini bado
ni WACHANGA katika
SANAA YA MAISHA.
Tumeshagundua SHERIA
ambazo zinatawala maumbo
mbalimbali na vipengee
Fulani vya MAADA , lakini bado
hatujui SHERIA ZINAZOTAWALA MAISHA
YA BINADAMU.
Wengi wetu
tuna TUMAINI kwamba
MAJAALIWA pekee , ndiyo
yatakayotusaidia na kutupatia
MAISHA MAZURI, SI KWELI HATA
KIDOGO ; hivyo wachache
ndio wanaoamini katika
UKWELI kuwa tunaweza
kubadili MAISHA yetu
kwa JUHUDI zetu
wenyewe , na kubadilisha kabisa
UMRI wetu kwa
JUHUDI hizo hizo.
Ala ! kwamba
UTU unajua karibu kila
kitu , lakini unajua
kidogo kuhusu BINADAMU.Na
kwa uzuri zaidi
ni kuwa DUNIA
NZURI inakuja tu
pale BINADAMU atakapojifunza KUSIMAMIA maisha yake
kama ambavyo anaweza
kumudu SAYANSI na anapokuwa
akijifunza , na si tu kwa
kubadili vumbi la
mbao kwa matumizi
mengine.
Lakini KUJIFUNZA
kubadili SEKUNDE ZA
MAISHA na kuwa
SARAFU YA DHAHABU
kwa ajili ya
MAISHA YENYE MAFANIKIO , anapokuwa akijifunza
KUSIMAMISHA MAISHA YAKE
KWA BUSARA , atagundua kuwa
MAISHA NI MAREFU
YA KUTOSHA.
Makala hii imeandikwa
na MWL JAPHET
MASATU , anapatikana kwa EMAIL ,
japhetmasatu@yahoo.com.
Mobile: WhatsApp +255 755 400 128
, + 255 716 924
136.
No comments:
Post a Comment