Wednesday, December 25, 2019

TOFAUTI YA TAJIRI NA MASKINI KATIKA KUDHIBITI FEDHA.


MATAJIRI  wana uwezo wa kudhibiti fedha zao na hivyo kuweza kupiga hatua zaidi. Hawana ulimbukeni kwenye fedha, hawabadili maisha yao kwa sababu wamepata fedha zaidi. Na pale wanapopata fedha zaidi, wanaiwekeza. 

MASKINI  hawawezi kudhibiti fedha zao, wana ulimbukeni mkubwa kwenye fedha. Wakipata fedha zaidi wanabadilika, wanaanza kununua vitu visivyo muhimu mpaka fedha hiyo iishe. Kwa namna hii, wanashindwa kupiga hatua na kila wanapopata fedha zaidi, ndiyo wanapotea zaidi.
Acha ulimbukeni kwenye fedha, jifunze jinsi ya kudhibiti fedha zinazokuja kwako ili uweze kuzitumia kupiga hatua zaidi.

1 comment:

  1. Habari WASOMAKI wangu !! Asante sana kwa kuendelea Kujifunza Masuala Mbalimbali ! JIUNGE PIA DARASA LETU ONLINE ili UJIFUNZE KWA UNDANI ZAIDI
    TUWASILIANE KWA 0716924136 / 0755400128 Ndimi MWL JAPHET MASATU

    ReplyDelete