Thursday, July 18, 2019

FURSA 16 ZA BIASHARA KATIKA HUDUMA MBALIMBALI ZA KIJAMII -----------------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

Zipo huduma   yingi sana  katika  jamii  ambazo  mtu  anaweza  kutoa  kulingana   na  taaluma  aliyonayo au  uelewa  wake .Baadhi  ya  huduma unazoweza  kutoa katika  jamii  yako na  ukapata  pesa  nzuri  ya  kujikimu  kimaisha.

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha    katika  
'HUDUMA  MBALIMBALI  ZA  KIJAMII "jiunge   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama .

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa


  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

Ukishatuma  ADA  tuma  pia  EMAIL  yako  kwa  njia  ya  Meseji kuhusu  malipo tayari  kwa   kuunganishwa.


Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama   hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

FURSA SITA ( 06 ) ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA HABARI NA UCHAPISHAJI----------------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

Kuna  FURSA  nyingi  sana   kwenye  SEKTA YA HABARI  NA  UCHAPISHAJI . Kwenye  habari  unaweza  Kujiajiri  mwenyewe  kwa  kutoa  habari na  kuchapisha habari  moto  moto  kwenye  mitandao   au  kwenye  makala  mbalimbali.

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zinazopatikana    katika  
'SEKTA   YA HABARI  NA  UCHAPISHAJI "jiunge   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze  Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama .

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa


  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

Ukishatuma  ADA  tuma  ujumbe  kwa  njia  ya  Meseji kuhusu  malipo pamoja  na  EMAIL  yako tayari  kwa  kuunganishwa


Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama   hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

FURSA 13 KATIKA SEKTA YA FASHENI NA MITINDO--------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

Je , wewe  ni  mpenzi  wa   MITINDO ?   MITINDO  ni   sehemu  sahihi  kwa  MJASIRIAMALI  yeyote   kwa   UWEKEZAJI. Hii  ni  kutokana   na  kubadilika kwake  na  kuletwa  kwa  bidhaa  mpya ambazo huifanya  kutokupitwa  na  wakati.Kama  unapenda KUTAJIRIKA   kwenye   SEKTA  YA  FASHENI  NA  MITINDO , basi  baki  na  mimi  Kwa   Kujiunga  na "  DARASA   LA  SEMINA " (  Google  Classroom ).

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali zilizojificha katika  
'SEKTA   YA FASHENI  NA  MITINDO "jiunge   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  na    " DARASA  LA  SEMINA " ( Google  Classrom )  kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze  Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UYAJIRI.

Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama   hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

Wednesday, July 17, 2019

UKOSEFU WA ELIMU YA MSINGI YA FEDHA HUTUPELEKEA KUWA MASKINI . JIFUNZE HAYA USIYOYAJUA KUHUSU ELIMU YA MSINGI YA FEDHA.

( 1 ).FEDHA SIYO MAKARATASI.
Watu wengi wamekuwa wanafikiria fedha ni yale makaratasi au sarafu ambazo tunazishika. Na hapa ndipo wengi wanapokwama, kwa sababu wanakosa ule msingi muhimu kuhusu fedha. Kwa kukosa msingi muhimu kuhusu fedha, watu wanashindwa kuzipata kwa wingi na hata kuzitumia vizuri.
Fedha ni wazo ambalo lina thamani. Fedha ni matokeo ya mtu kuwa na wazo ambalo linaongeza thamani kwa wengine. Bila ya thamani hakuna fedha. Hivyo kama unataka fedha zaidi, lazima ujue thamani gani unatoa kwa wengine.

( 2 ).KIPATO KIMOJA NI UTUMWA.
Kuwa na chanzo kimoja cha kipato pekee ni utumwa. Huwezi kuondoka kwenye umasikini kama unategemea kipato chako kitoke sehemu moja pekee. Kama umeajiriwa pekee, hata kama unalipwa kiasi kikubwa cha fedha, bado unabaki kwenye umasikini. Kama unafanya biashara na unategemea wateja wachache nayo pia inakuweka kwenye umasikini.
Utaondoka kwenye umasikini kwa kuwa na vyanzo vingi vya kipato. Bahari huwa haikauki kwa sababu mito mingi inaishia kwenye bahari. Hiyo kama unataka usikaukiwe na fedha, kuwa na vyanzo vingi vya kipato.

(3) MATUMIZI NI BOMU.
Watu wengi wamekuwa wanaanza maisha na kipato kidogo, na yanaenda. Kipato kinaongezeka na matumizi yanaongezeka, kila kipato kinapoongezeka na matumizi pia yanaongezeka. Matumizi ni bomu kama hayatadhibitiwa. Matumizi yana tabia ya kuongezeka pale tu kipato kinapoongezeka.
Huwezi kuondoka kwenye umasikini kama huwezi kuyadhibiti matumizi yako. Haijalishi unatengeneza kipato kikubwa kiasi gani, matumizi ni bomu, usipolitegua litakulipua.

( 4 ).MADENI NI UTUMWA.
Umesikia hapo, na najua huenda kimoyomoyo unakataa, unajiambia siyo kweli, kwa sababu huenda umeshalishwa sumu kwamba bila madeni maisha hayawezi kwenda. Unajua nini, wale wanaonufaika na madeni ndiyo wanasambaza propaganda za aina hiyo. Madeni ni utumwa, na huwezi kuondoka kwenye umasikini kama huwezi kuondokana na madeni.
Kuna madeni mazuri na mabaya, na masikini wote huwa wapo kwenye madeni mabaya. Madeni mabaya ndiyo yanawafanya watu kuwa watumwa, wanajikuta wanafanya kazi sana kulipa madeni, halafu wanakopa tena. Kwa hiyo maisha yao yote yanakuwa mzunguko wa kopa, lipa, kopa tena.

( 5 ).BIASHARA NI MKOMBOZI.
Zile zama za nenda shule, soma kwa bidii, faulu na utapata kazi nzuri na inayolipa zimeshapitwa na wakati. Kila mtu anaona wingi wa watu wenye sifa za kuajiriwa, lakini hakuna nafasi za ajira. Na hata walioajiriwa, mazingira ya kazi na hata kipato wanachoingiza hakiridhishi.
Kwa zama tunazoishi sasa, mkombozi pekee, kitu pekee kitakachokuwezesha kuwa na maisha mazuri ni kuwa na biashara yako. Hivyo ni muhimu sana uwe na biashara kama unataka kutoka kwenye umasikini.

( 6 ). UWEKEZAJI NI KIJAKAZI WAKO.
Inapokuja kwenye fedha, kuna mambo mawili, kuna kuifanyia kazi fedha, pale ambapo inabidi ufanye kazi ndiyo fedha iingie. Halafu kuna fedha kukufanyia kazi wewe, ambapo fedha inaingia hata kama hufanyi kazi moja kwa moja.
Ili kuondoka kwenye umasikini na kufikia uhuru wa kifedha, ni lazima fedha ziwe zinakufanyia kazi wewe. Na hapa ndipo unapohitaji kuwa na uwekezaji, ambao unafanya kazi ya kuuzalishia fedha, hata kama wewe umelala.
( 7 ). KODI NI UWEKEZAJI.
Kodi ni gharama unayolipa kwa kuishi kwenye jamii iliyostaarabika. Ni kodi tunazolipa ndiyo zinazoleta huduma mbalimbali tunazozitegemea kwenye jamii. Huduma za afya, huduma za elimu, ulinzi na usalama, miundombinu kama barabara na mengineyo ni matokeo ya kodi tunazolipa.
Hivyo kodi ni uwekezaji ambao kila mmoja wetu anapaswa kuufanya ili tuwe na jamii bora. Tunapaswa kuondokana na dhana potofu kwamba kodi ni kitu kibaya. Kwa sababu hebu pata picha, umekazana kutafuta fedha na ukawa tajiri, halafu unaishi sehemu isiyo salama, je utaweza kufurahia utajiri wako?
(  8 ).BIMA NI MKOMBOZI.
Kuna hatari mbalimbali ambazo zinatuzunguka kwenye maisha, na kadiri unavyopiga hatua kifedha, ndivyo hatari zinakuwa kubwa zaidi. Hili limekuwa linazua hofu kwa wengi na wakati mwingine kuwazuia hata kufanikiwa.
Ili kuondokana na hatari zinazokuzunguka na kukuzuia kuanguka pale unapokutana na changamoto kubwa, unapaswa kuwa na bima. Kwa bima unachangia kiasi kidogo cha fedha, lakini unapopata tatizo, unalipwa kiasi kamili cha fedha au mali ulizopoteza.

( 9 ). WATOTO WAKO HAWAHITAJI FEDHA ZAKO.
Wazazi wengi wamekuwa wanakazana kutafuta fedha na mali kwa wingi, ili kuwaachia watoto wao urithi na wasiwe na maisha magumu. Lakini wote tumekuwa tunaona nini kinatokea baada ya wazazi hao kufariki, utajiri na mali zote zinapotea, kwa kutumiwa vibaya na watoto walioachwa.
Watoto wako hawahitaji sana fedha wala mali zako, bali kikubwa wanachohitaji ni msingi muhimu wa kufuata na kusimamia inapokuja kwenye swala la fedha. Kuliko uwape watoto fedha bila ya misingi, ni bora uwape misingi bila ya fedha. Kwa sababu misingi itawawezesha kupata fedha zaidi wakati fedha pekee bila misingi zitapotea.

( 10 ). KUTOA NI UWEKEZAJI.
Mmoja wa watu matajiri sana kuwahi kuwepo hapa duniani, John D. Rockefelar amewahi kunukuliwa akisema unatumia nusu ya kwanza ya maisha yako kukusanya fedha, halafu nusu ya pili unaitumia kuzigawa fedha hizo kwenda kwa wengine.
Moja ya vitu vinavyowafanya matajiri kuendelea kuwa matajiri ni utoaji. Matajiri wengi wamekuwa watoaji wa misaada mbalimbali ya kijamii na hilo limekuwa linawasukuma kufanikiwa zaidi kifedha. Hivyo kutoa ni uwekezaji ambao unamlipa sana mtu baadaye.

Tuesday, July 16, 2019

FURSA 19 KATIKA SEKTA YA ELIMU ----------------------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

Mara  kadhaa  tumesikia  watu  wakisema  "ELIMU   NI  UFUNGUO  WA  MAISHA ". Lakini  ni  mara  chache  sana   tumechukua   MUDA  kutafakari  kwa  kina   undani    wa  kauli  hii. Pamoja   na  yote  yanayosemwa, ukweli  utabaki   kuwa  kweli  ndio   nguzo  pekee  ya   kumsimika  mwanadamu   katika maisha.
ELIMU  humpatia   mtu    msingi  wa  kifikra  na maarifa   stahiki  ya  kuweza  kupambanua  maisha , kufanya  kazi   vyema  na  kuwasiliana  na  watu. Tukiachlia  hayo , elimu  ina   faida  nyingi  sana , elimu  itakufanya  uishi  maisha  yenye  FURAHA, UHURU , KUJITEGEMEA , KUTAFSIRI  NDOTO  zako , ELIMU  itakufanya   ujiamini  hasa  pale  unapoongea  na  watu, hukuunganisha  na  dunia  , kuelewa  tamaduni  mbalimbali  za  watu duniani , pamoja  na kukutayarisha  kuwa  na  mafanikio. SEKTA   YA  ELIMU  ni  sekta  ya   mabilioni    ya  pesa  duniani  kote. Vile  vile  ni  sekta  pana  na  iliyojigawa    sana   kati  ya  sekta   zote   naweza  kusema.Ukianzia  shule  za  awali  , shule  za  msingi , shule  za  kati , sekondari , vyuo  vya  ufundi  kama  vile  VETA , vyuo  vya   ualimu  na  vyuo   vikuu  utagundua  ukweli  kuwa   ukubwa  wa  sekta  hii  unabainisha  wazi  kabisa  FURSA  zilizopo  kwenye  SEKTA   YA  ELIMU . Kwa  ufupi   ebu  tuangalie  fursa  zilizopo  kwenye  sekta  ya  elimu  ambazo  wewe  MJASIRIAMALI  unaweza  kufanya   leo  na  kupata   UTAJIRI


MUHIMU : Ili   kuendelea  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali zilizojificha katika  
'SEKTA   YA ELIMU "jiunge   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  na    " DARASA  LA  SEMINA " ( Google  Classrom )  kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10000  kwa  Mwezi ) ili   uweze  Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UYAJIRI.

Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama   hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

Monday, July 15, 2019

NJIA PEKEE YA KUJIHAKIKISHA USALAMA KWENYE KAZI AU BIASHARA YAKO.

“In today’s competitive economy, it’s not enough to simply do your job well. Developing a reputation as an expert in your field attracts people who want to hire you, do business with you and your company, and spread your ideas. It’s the ultimate form of career insurance.” ― Dorie Clark
Wakati mapinduzi ya viwanda yanaanza, watu waliambiwa ili kuwa na usalama wa kazi basi soma kwa bidii, faulu sana na utapata kazi nzuri ambayo utaifanya mpaka kustaafu kwako na hapo utalipwa mafao ya kukuwezesha kuishi mpaka uzeeni.
Mapinduzi ya viwanda yamefika tamati na sasa tupo kwenye mapinduzi ya taarifa. Katika zama hizi uhakika pekee wa wewe kuwa na usalama kwenye kazi au biashara siyo tu elimu au taaluma uliyonayo, bali kutengeneza ubobezi kwenye kile unachofanya kiasi kwamba watu watapenda kufanya kazi na wewe.
Unapaswa kujijengea sifa ya ubobezi wa hali ya juu kwenye kile unachofanya kiasi kwamba kila mwenye uhitaji unaohusu unachofanya anakufikiria wewe au anaambiwa waje kwako.
Na hilo linawezekana kama utaweka juhudi katika kujua vizuri kile unachofanya, kukifanya vizuri na pia kutengeneza mtandao wa watu wanaojua kuhusu unachofanya na hivyo kusambaza sifa zako kwa wengine wengi.