Saturday, August 10, 2019

HATUA 08 ZA KUJENGA BIASHARA YENYE MAFANIKIO MAKUBWA-------------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

FURSA 16 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA ULINZI NA USALAMA----------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

SEKTA  YA  ULINZI  ni  nyeti   sana  kulingana  na  umuhimu  wake  wa  kuleta   usalama  na   maeneo  mbalimbali. Kukithiri  kwa   vitendo   vya   ugaidi , ujambazi , wizi  na   unyang"anyi   umepelekea  serikali , watu, mashirika  na  makampuni  mengi  kubuni   mbinu  kadha  wa   kadha  katika  kuimarisha   ulinzi. Kujua fursa  unazoweza  kufanya  kwenye   sekta  hii  ya    ulinzi , tafadhali  endelea  kusoma  zaidi.Ili  kufahamu   baadhi  ya   FURSA  zilizopo   kwenye  sekta  hii   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufuatana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )


MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA  ULINZI  NA  USALAMA"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--ONLINE--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa


  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 


Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

FURSA 24 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA UREMBO NA MITINDO --------------------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

Swala  la  urembo   ni  swala  mtambuka  sana. Urembo   unajumuisha   vitu   kama   vile  mavazi , nywele , muonekano  wa   ngozi , sabuni , mafuta , mapambo  na  vipodozi. Kama  upo  kwenye  sekta  hii  au   unataka  kuanzisha   FURSA  yoyote   inayohusika   na   mambo  ya  urembo , basi  karibu  usome  baadhi   ya  FURSA  nyeti  zinazopatikana  hapa.Ili  kufahamu   baadhi  ya   FURSA  zilizopo   kwenye  sekta  hii   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufuatana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )


MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA  UREMBO   NA  MITINDO"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa


  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 


Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

Friday, August 9, 2019

HOW TO WRITE COPY THAT SELLS----BY RAY EDWARDS

HII NDIYO NGUZO MUHIMU KWA KIONGOZI YEYOTE YULE

Mpendwa rafiki yangu,  Mdau  wangu
Unapokuwa kiongozi unakuwa na mamlaka makubwa juu yaw engine, una uwezo wa kuamuru chochote  na kikafanyika. Hivyo basi, kama ukisema utumie mamlaka hayo vibaya lazima utaharibu watu. Utatumia vile unavyotaka na matokeo yake cheo kinakupa kiburi utajiona wewe ndiyo wewe hakuna mwingine.
Tukianzia hata uongozi ndani ya familia zetu, kama baba akiwa ni mtu wa kutumia madaraka yake vibaya lazima ataharibu familia yake. Kama umepewa madaraka basi yatumie vizuri hayo madaraka kuleta matokeo mazuri. Watu wakufurahie uwepo wako kwa kufanya makubwa ambayo yanakuwa ni msaada kwa wote.
Mfano baba anaweza kuwa ni kiongozi wa familia lakini huwa anatoa adhabu kwa watoto kupita kiasi au kwa upendeleo sasa hii inaleta mpasuko kwa watoto, inaleta vinyongo na kuwagawa watoto katika familia.

Kama kiongozi unatakiwa kuwa na nguzo muhimu katika uongozi wako ambayo nguzo yenyewe ni msamaha. Msamaha ni nguzo muhimu sana kwa kiongozi yoyote yule. Siyo kila kosa linahitaji adhabu, kama kiongozi unatakiwa uwe na msamaha katika uongozi wako.

Ukiwa ni mtu wa kufuata sheria katika uongozi wako, yaani kila kosa wewe ni adhabu tu basi utawapoteza watu wengi. Kwa sababu watu wengi wana udhaibu wa kibinadamu na huwezi ukakosa kosa kwa mtu kama ni mtu unayesimamia sheria.
Hapa ndiyo inakuja nguzo muhimu sana ya uongozi ambayo ni msamaha. Msamaha unaleta amani kwenye eneo lolote la uongozi. Msamaha unaleta utulivu,kama kuna mahali watu walikuwa hawana utulivu basi baada ya kiongozi wa sehemu husika wanafurahia msamaha huo na kuwaletea utulivu wa wa akili.
Msamaha unafanya eneo kuwa tulivu,mtaa, nchi, mkoa, kijiji, familia na hata dunia kiujumla. Kwa kupitia msamaha unawaleta watu na kusahau hata tofauti walizonazo.


Kama kiongozi unatakiwa uwe unavaa sifa ya uungu ndani yako, kama ingekuwa Mungu anatoa adhabu kama binadamu basi leo hii hakuna ambaye angeweza kusimama lakini kwa kuwa kuna msamaha, tunaweza kujirudi na kuwa watu wapya tena.
Hatua ya kuchukua leo; kama wewe ni kiongozi siyo kila kosa unapaswa kutoa adhabu muda mwingine unasamehe. Na kumbuka kuwa siyo kila kosa ni la kusamehewa ukiwa unatoa msamaha kwenye kila kosa watu wataacha kufuata tena sheria.
Kwahiyo, kumbuka kuwa kila nafasi ya uongozi uliyonayo ni kama vile unamsaidia Mungu, hivyo angalia sifa za Mungu je unavyoongoza watu wako una nguzo za huruma, msamaha na siyo mwepesi wa hasira? Kuwa mtu wa msamaha na usiwe mwepesi wa hasira maana utawapoteza wengi kama siyo kuwamaliza.

BOBEA KATIKA " KUANDIKA , KUONGEA NA KUANDIKA ILI KUWEZA KUWA NA USHAWISHI NA WATU WANUNUE UNACHOUZA---------------" Fursa Afrika Mshariki Blog "