Tuesday, July 30, 2019

FURSA 12 ZA BIASHARA KATIKA MISIMU ( VIPINDI ) MBALIMBALI ----------------------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

Katika  Maisha  kuna   vitu  fulani  ambavyo  hufanyika  ndani  ya  kipindi  fulani  mara  moja  au  mara   mbili  kwa   mwaka, baada  ya  miaka   miwili , miaka minne , mitano  au  muongo  mmoja. Kwa  kuwa  vipindi  hivi  huwa  ni  vifupi sana , vinatupa  changamoto  sana   katika   maadalizi    na   huwa  ni  vya  kuhuzunisha  au  vya   kufurahisha  watu. Sisi  WAJASIRIAMALI  tunatumia  vipindi  hivi  KUTENGENEZA  PESA. Ili  kujua  MISIMU  ina   FURSA   zipi  na   jinsi  ya  kutengeneza  PESA tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.


MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  MISIMU ( VIPINDI )  MBALIMBALI"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa


  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 


Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

Monday, July 29, 2019

JINSI YA KUONGEA MBELE YA KUNDI KUBWA LA WATU

TENGENEZA KIPATO KUPITIA UNENAJI---------- " Elimu Ya Msingi Ya Fedha "

VITU VIWILI UNAVYOHITAJI ILI WATU WAKUSIKILIZE.

“There is only one excuse for a speaker's asking the attention of his audience: he must have either truth or entertainment for them.” ― Dale Carnegie
Kama unataka watu wakusikilize unapoongea, unapaswa kuwa na moja au vyote kati ya vitu hivi viwili; ukweli au burudani.
Watu wanapenda kusikiliza ukweli, ukweli ambao unawawezesha kufanya maamuzi sahihi na kupiga hatua kwenye maisha yao, ukweli unaowafanya waone wapi walikuwa wanakosea na hatua sahihi za kuchukua ni zipi. Unapokuwa na ukweli, watu wanakusikiliza, hasa pale unapokuwa na ushahidi wa ukweli huo. Japokuwa wakati mwingine ukweli huwa unaumiza na watu wengi kuukataa, lakini unapousimamia unapata watu wa kukusikiliza. Hii ndiyo inayosababisha tunawasikiliza waalimu, washauri, au viongozi mbalimbali, ambao tunajua wana ukweli ambao tunauhitaji.
Watu wanapenda burudani, watu wanapenda kusahau changamoto zao za maisha kwa muda na kucheka kidogo. Na hapa ndipo wasanii na wachekeshaji wanapopata nafasi ya kuwafikia wengine kupitia sanaa zao. Watu watamsikiliza mtu kama wanaburudika kwa kumsikiliza.
Hivyo rafiki, kama unataka kuwa mnenaji mzuri, kazana kuweka vitu hivi viwili kwenye unenaji wako, ukweli na burudani. Kila unapopata nafasi ya kuongea mbele ya wengine, jua ni ukweli gani ambao unataka watu hao wajue, labda kuhusu wewe, kuhusu mada unayozungumzia au kuhusu bidhaa au huduma unayotaka kuwauzia. Ukweli huu uwafanye waondoke na kitu ambacho hawakuwa wanakijua awali na wawe na hatua za kuchukua ambazo hawakuwa wanachukua awali. Pia waburudishe watu kupitia unenaji wako, kuwa na hadithi, mifano au visa ambavyo vinaufukisha ukweli huo kwa njia ambayo inawaburudisha watu. Unahitaji kuwa na maandalizi ya mifano au hadithi utakazotumia kwenye unenaji wako, ambavyo vitafikisha ukweli na kuwaburudisha watu pia.
Zingatia vitu hivyo viwili katika unenaji, ukweli na burudani na watu watapenda kukusikiliza kila wakati bila ya kuchoka.