Monday, July 15, 2019

FEDHA KAMA WAZO ----------------------------" Fursa Afrika Mshariki Blog "

TENGENEZA GEREZA LA AKIBA --------------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

MBINU YA KUONGEZA KIPATO 2019 ----------- " Fursa Afrikan Mashariki Blog.

USIOGOPE KUWAAMBIA WATU WAKULIPE.

Watu wengi wanaofanya biashara za huduma, hasa za ushauri au mafunzo, huwa wanaanza kutoa huduma hizo bure ili watu wawajue. Ni vigumu sana kuanza kwa kuwachaji watu fedha ndiyo uwashauri au kuwafundisha mambo mbalimbali.
Hivyo mtu anapoanza kutoa huduma zake bure, watu wengi wanamfuatilia na kujifunza au kunufaika na huduma hizo kama ni za ushauri au nyinginezo.
Sasa mtu anaweka juhudi kubwa kutengeneza wafuasi wengi, akiwa na lengo kwamba watu wanaomfuatilia wanapokuwa wengi na wengi zaidi kuhitaji huduma zake, basi anaweza kuwatoza ada na kutengeneza kipato.
Lakini unapofika wakati wa kuwaambia watu wakulipe ili kuendelea kupata huduma ambazo umekuwa unawapa bure, wengi huwa wanaogopa. Wengi wanajenga hofu hii pale wanapoanza kuwaambia watu kuhusu malipo na watu hao wakawaambia hawakutegemea kulipia ushauri au mafunzo yanayotolewa.
Watu wengi ambao wamekuwa wananufaika na mafunzo hayo ya bure watapinga sana pale mtu aliyekua anatoa mafunzo hayo bure anapoanza kutoza ada. Na hili limekuwa linawafanya wengi kushindwa kuendelea na huduma zao na hivyo huduma hizo zinakufa.
Nikuambie leo rafiki yangu, kama unaendesha huduma yoyote ile, iwe ni ushauri, uandishi, ukocha, au huduma ya kiimani, lazima ujue kwamba ili huduma hiyo iendelee unahitaji njia ya kukuingizia kipato. Hivyo basi usiogope kuwatoza watu fedha pale wanapohitaji huduma zaidi kutoka kwako.

Wednesday, July 10, 2019

FURSA 28 KATIKA SEKTA YA MICHEZO NA BURUDANI -------------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

 SEKTA YA  MICHEZO  ina  fursa  nyingi  sana  ambazo  zinaweza  kumnufuaisha  MJASIRIAMALI  mwenye  hari  ya  kuwekeza  kwenye  sekta  hii. Gundua  fursa  unazoweza  kufanya  kwenye  sekta  ya  michezo.

Je, wewe  ni  mpenzi  wa  BURUDANI  ? Je,  umewahi  kujiuliza  watu  kwenye sekta  hii  wanapataje  pesa ? Basi  hilo  lisikupe  maswali  mengi  sana  kwa  sababu mimi   MJASIRIAMALI  nipo  wewe  katika  kila  jambo.Fuatilia " Darasa  la  Semina  kujua   fursa  unazoweza  kuwekeza  kwenye  sekta  hii  ya  burudani.


MUHIMU : Ili   kuendelea  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali zilizojificha katika  
'SEKTA   YA MICHEZO & BURUDANI "jiunge   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  na    " DARASA  LA  SEMINA "   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10000  kwa  Mwezi ) ili   uweze  Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA.

Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama   hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA "  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

Sunday, July 7, 2019

FURSA 20 ZA BIASHARA ZA KUFANYA UKIWA NYUMBANI -------------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

Kuna  fursa  nyingi  za  kufanya  ukiwa   nyumbani  kwako. Uzuri  wa   fursa  hizi  ni  kwamba  unakuwa  bosi  wewe   mwenyewe  na  unapanga  MUDA wa   kufanya   kazi  na  faida  unayotaka  mwenyewe.


MUHIMU : Ili   kuendelea  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali zilizojificha ukiwa  nyumbani ,  jiunge   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  na    " DARASA  LA  SEMINA "   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10000  kwa  Mwezi ) ili   uweze  Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA.

Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama   hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA "  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539


ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii :- EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

Saturday, July 6, 2019

FURSA 17 KATIKA SEKTA YA AFYA , MADAWA NA MATIBABU------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

AFYA , MADAWA  na MATIBABU    ni  eneo  nyeti   sana  ambalo  sio  la   kufanyia   mzaha.SEKTA  hii  ni  muhimu  sana    kwa  binadamu  ndio   maana  hata  katika  kipindi  kigumu   sana  cha   kiuchumi  watu  wanaweza  kupunguza  manunuzi  ya  vitu  vya   starehe  lakini  hawawezi  kubana  matumizi  kwenye  sekta  hii. Ukweli  ni  kwamba  mtu  akikosa  huduma  sahihi  kipindi  cha  ugonjwa  wake  anaweza  kupoteza  maisha. Je, una  ELIMU juu  ya  maswala  ya  matibabu ? Ungependa   kuwekeza  kwenye  sekta  hii  HATA  KAMA  HAUNA  ELIMU  YA  AFYA ?   Mdau  wangu , Rafiki  Yangu Soma  Na  Ujifunze  fursa  mbalimabali  zinazopatikana  kwenye   sekta  hii kwa  KUJIUNGA UANACHAMA.
 
MUHIMU : Ili  kuendelea   Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali zilizojificha katika SEKTA  hii ya  " AFYA , MADAWA  NA  MATIBABU " ,  jiunge   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  na    " DARASA  LA  SEMINA "   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10000  kwa  Mwezi ) ili   uweze  Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA.

Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama   hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA "  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi


WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO , CHANGAMOTO ,MASULUHISHO kwa  Email  hii :-- EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com