Wengi hufikiri utajiri unaanzia kwenye fedha, lakini hilo siyo sahihi.
Na ukitaka kudhibitisha hilo, angalia wale wanaopata fedha nyingi kwa
wakati mmoja, mfano wanaoshinda bahati nasibu, wanaorithi mali na
wanaopata mafao, ndani ya muda mfupi hujikuta wamepoteza fedha zao
zote.
Utajiri ni zao la fikra, wanaotajirika wana namna ya tofauti ya kufikiri
ambayo masikini hawana. Ndiyo maana kama leo fedha zote duniani
zitagawanywa sawa ka kila mtu, baada ya muda mfupi zitarudi kwa wachache
matajiri.
Kama ungependa kujifunza namna sahihi ya kufikiri itakayokupeleka kwenye
utajiri, JIUNGE NA DARASA LA SEMINA---GOOGLE CLASSROOM ujifunze Kila Siku kwa kulipia ADA ya shs 10000 tu kwa mwezi.
Tuwasiliane kwa WhatsApp / Call / Message +255 716 924 136 / + 255 755 400 128 / + 255 688 361 539
Kocha Mwl Japhet Masatu, Dar es Salaam, Afrika Mshariki , Tanzania
BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment