Kama ingekuwa KUJICHUA
kunawafanya watu wanakuwa
VICHAA au kukosa
NGUVU ZA KIUME ,
bila shaka asilimia
90 ya WANAUME
wote duniani na
karibu asilimia 70
ya WANAWAKE wote
wangekuwa vichaa na
wangekuwa hawana uwezo
wa kushiriki TENDO
LA NDOA.
Nimeandika hivi
kwa kuzingatia ukweli
kwamba utafiti mwingi
ambao umefanywa hadi
sasa unaonyesha kwamba
zaidi ya asilimia
90 ya wanaume
huwa wanajichua mara
moja au nyingi ,
na zaidi ya
asilimia 65 ya
wanawake wote duniani hushiriki
na kuhusudu KUJICHUA. Tofauti na
siku za nyuma ,utafiti wa
hivi karibuni wa
wataalamu kama MORTON
HUNT unaonyesha kwamba
vijana wengi huanza
KUJICHUA (MASTURBATION )
tangu wakiwa na
umri mdogo sana.
KUJICHUA , kunaonekana kama
kitu au tabia
ambayo imo ndani
ya binadamu kama
SILIKA.
Dalili au haja
ya binadamu kutaka
kujichua huonekana hata
kwa WATOTO WA
KIUME walio chini
ya umri wa
mwaka mmoja . Pale anapojaribu
kushika “DUDU” yake
na kufurahia wakati
inapojaa damu na
kufura. KWA WANAWAKE , KUJICHUA
kwao huchukua sura
ya kuzichezea sehemu
zao za siri
kwa mikono au
vifaa kama VIBRATOR.
SWALI ambalo
mara nyingi WATU
wamekuwa wakijiuliza kuhusu
jambo hili ni
je, kujichua husaidia
nini au ni
kwa sababu gani .
JIBU la swali
hili ni zuri
kwa washirki wa
tabia hii , ambao mara
nyingi wamekuwa wakitishwa
kwamba KUJICHUA kuna
athari KIMWILI na
KIAKILI. Ukweli ni
kwamba kupitia kujichua
mtu hutokea kujua
upendeleo na msukumo
wake kuhusuiana na
TENDO LA NDOA. Pia
huweza kugundua hali
halisi ya KIMAUMBILE
ambayo inaendesha matamanio
yao ya KIMWILI.
Katika hali
hiyo , KUJICHUA kumekuwa kukitazamwa
na WATAALAMU WA
ELIMU NAFSI kama sehemu muhimu
katika kujenga MAISHA
ya baadaye ya
ushiriki wa tendo
la NDOA kwa
vijana wegi. KIJANA
anayeshiriki katika KUJICHUA
anakuwa katika nafasi
nzuri ya kuweza kuutawala
na kuidhibiti tama yake
ya KIMWILI kwa
kiwango cha juu , kwa
sababu tayari anakuwa
anajua kiwango , upedneleo ,
mtazamo , na msukumo
wake kuhusu TENDO
LA NDOA.
Pia KUJICHUA
huhesabiwa kuwa ni
kibadala kizuri cha
tendo halisi la
ndoa , hasa pale ambapo
mtu anadahani kushiriki
tendo la ndoa
ni hatari kwake.Kwa
mfano kwa wakati
huu wa maradhi
ya UKIMWI, WAKE au
WAUME waaminifu hutmia
njia hii wakati
wenzao wanapokuwa HAWAPO
KWA MUDA MREFU.
Lakini
je , KUJICHUA kuna
madhara gani katika
miaka ya 1930
HADI 1960 wataalamu
wengi na hasa
madakatri walikuwa wakitoa
maelezo kwamba KUJICHUA
husababisha UHANITHI AU
KICHAA . Lakini baadaye
imekuja kubainika yote
hiyo ilikuwa ni
POROJO isiyo na
maana.
Kwa ushahidi
mkubwa wenye kuonyesha kwamba
KUJICHUA kuna FAIDA zaidi
ya HASARA. HASARA
pekee zenye kutokana
na KUJICHUA ni
kwa mtu anayeshiriki
tendo hilo mara kwa
mara , kuwa na
HOFU , WASIWASI , NA WOGA ,
hasa anapotokea kuamini
kwamba TENDO
analofanya ni baya. Vinginevyo , hii ni
njia ya kawaida
na inayokubalika kwa
MTU kumaliza haja yake. ENDELEA
NAYO , ingawa ni vizuri
kujihadhari isikudhibiti.
WATU wengi
hasa nchi zilizoendelea , ambapo jambo
limewekwa wazi kwa
siku nyingi. Baadhi
ya watu hata
wale WALIOOA hushirki
TENDO hili kwa
kuwa na RATIBA.
Mara moja kwa
mwezi ni wastani
mzuri kwa wengine
mara nyingi huwa
mara nne kwa
mwezi.
Mwandishi wa Makala:
MWL JAPHET MASATU.
EMAIL: japhetmasatu@yahoo.com.
Call / WhatsApp : +255
755 400 128 / +255 716 924 136.
No comments:
Post a Comment