BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Saturday, April 25, 2020
Friday, April 24, 2020
Saturday, April 18, 2020
UJASIRIAMAARIFA , BIDHAA 10 ZA KIDIJITALI UNAZOWEZA KUUZA MTANDAONI NA KUINGIZA KIPATO.
Kuna bidhaa nyingi za kidijitali unazoweza kuuza mtandaoni na ukaingiza kupato kwa muda mrefu.
1. Vitabu
2. Makala
3. Picha
4. Michoro
5. Muziki
6. Ushauri
7. Kozi
8. Ukocha
9. Blog
10. Matangazo.
Tumia mtandao wa intaneti kwa manufaa, jua jinsi ya kuingiza kipato mtandaoni kwa kutumia blog.
Thursday, April 16, 2020
UJASIRIAMAARIFA , LIPWA KWA MAARIFA NA TAARIFA ULIZONAZO.
Tunaishi kwenye zama za TAARIFA na / MAARIFA ,Hivyo mwenye maarifa na taarifa zenye manufaa makubwa kwa wengine, ndiyo wanaonufaika sana.Na hapo kuna aina mpya ya ujasiriamali ambao unahusisha maarifa, ambao tunauita UJASIRIAMAARIFA.Kupitia ujasiriamali huu, unaweka maarifa na taarifa ulizonazo kwenye kifurushi ambacho wengine wanaweza kununua kama nakala ngumu (HARDCOPY ) au tete.( SOFTCOPY )
Unaweza kujifunza kwa kina kuhusu ujasiriamaarifa katika Mada ya JINSI YA KUTENGENEZA FEDHA MTANDAONI KWA KUTUMIA BLOG. Una maarifa na taarifa nyingi, anza kuziuza sasa .
WASILIANA NA KOCHA MWL JAPHET MASATU AKUTENGEHEZEE BLOG YAKO LEO NA UJUE JINSI YA KUFANYA HIVYO. ----- Call / SMS / WhatsApp / +255 716924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539Wednesday, April 15, 2020
JINSI YA KULIPWA UKIWA NYUMBANI----ONGEA NA KOCHA / COACH MWL JAPHET MASATU
Watu wengi wamezoea biashara ni mpaka utoke nyumbani na kwenda kwenye ofisi au eneo jingine la biashara na ukutane na wateja.
Lakini mapinduzi ya kiteknolojia yameshabadili hilo.Sasa unaweza kufanya biashara na kulipwa ukiwa nyumbani kwako, bila hata ya kukutana na wateja.
Hii ni kupitia mtandao wa intaneti.
Hatua ya kwanza ya kulipwa mtandaoni, ni kuwa na blog.
Blog ndiyo inakuwa duka lako la mtandaoni, ambapo wale wenye uhitaji wa unachotoa watakuja na kukutana na wewe.
Baada ya hapo, kuna namna ya kuwapa thamani zaidi na wao wakakulipa.
HUHITAJI MTAJI ILI KUANZA .
Uzuri
ni kwamba, kuigiza kipato mtandaoni kwa kutumia blog huhitaji kuwa na
mtaji wowote wa kuanzia, kama unaweza kusoma hapa, basi kifaa hicho
hicho unachotumia kusoma ndiyo unaweza kukitumia kuendesha blog yao.
Kama
unatumia kompyuta hiyo hiyo inakutosha kufanya biashara hii. Na hata
kama unatumia simu pekee, inakutosha sana kuweza kufanya biashara hii.
Unachohitaji
kuwa nacho ni kitu kinachoongeza thamani kwenye maisha ya wengine na
utayari wa kutoa thamani hiyo halafu kuwa na njia bora ya kulipwa na
baada ya hapo kuweka kazi hasa.
JE , WAHITAJI KUWA NA BLOG YAKO ??? WASILIANA NA KOCHA MWL JAPHET MASATU ------ 0716 924136 / 0755 400128 / 0688 361 539
JE , WAHITAJI KUWA NA BLOG YAKO ??? WASILIANA NA KOCHA MWL JAPHET MASATU ------ 0716 924136 / 0755 400128 / 0688 361 539
Subscribe to:
Posts (Atom)