Wednesday, June 25, 2025

NGUVU YAKO KUBWA IWEKE HAPA-----------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

 Rafiki yangu, nguvu yako kubwa iweke kwenye kile unachofanya. Badala ya kuiweka nguvu kubwa kwenye vitu ambavyo hupendi. Inawezekana kuna vitu hupendi kwenye siasa, kwenye michezo na mabo mengine. Ila ukwlei ni kuwa nguvu yako kubwa inapaswa kuwekwa kwenye vitu ambavyo unapenda. Kama ni biashara, hapo ndipo unapaswa kuwekeza nguvu zako. Kama ni kazi, iwekeze…

Saturday, May 31, 2025

MAFUNDISHO YA USHONAJI---SOMO : HALF YA DRAPE ( KUKATA NA KUTAWANYA ) ---FULL NUKUU---KWA WANAFUNZI WA USHONAJI ---TANZANIA-----( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

MAFUNDISHO YA USHONAJI : SOMO : VIPIMO VYA ZIADA VYA OFFSHOULDER MOYO----FULL NUKUU---KWA WANAFUNZI WA USHONAJI -----TANZANIA----( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

MAKALA : JE, WAJUA KUSUDI LAKO KUWAKO HAPA DUNIANI ?? NDANI YAKO KUNA MOTO WA NDOTO ZAKO UMEFICHWA------NA MWL JAPHET MASATU ------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

 Rafiki Yangu Mpendwa,

‎Watu wengi wanamka kila siku…

‎Wanaoga, wanavaa, wanatoka.

‎Lakini hawajui kwa nini wanaishi.

‎Wanapambana… lakini hawajui wanapambana kwa lipi.

‎Wanaume wanahangaika na mihangaiko,

‎Wanawake wanahangaika na wanaume.

‎Kila mtu anakimbia, lakini hakuna anayeuliza:

‎"Tunakoenda ni wapi?"

‎Ishu Hii Ndio Inasababisha Maisha Ya Watu Yatupwe Kama Karatasi Iliyotumika.

‎Unajikuta una miaka 30... lakini unahisi hujaanza kuishi.

‎Unajiona hufai.

‎Unachoka bila kazi.

‎Una usingizi wa saa 10 lakini bado umechoka.

‎Unapoteza nguvu kwenye mambo yasiyojenga.

‎Unapata hela unazimaliza bila hata kumbukumbu.

‎Unapenda unakataliwa.

‎Unajifunza lakini bado maisha yako yapo vile vile.

‎Unapambana, lakini unapambana gizani.

‎Umefungwa kwa minyororo usiyoiona…

‎Na minyororo hiyo inaitwa: "Kutokujua KUSUDI la maisha yako."

‎Kujua Kisudi Ni Siri Ya Waliotoka Chini Wakafika Juu.

‎Wewe si maskini umepoteza mwelekeo tu.

‎Wewe si mvivu hujagundua unachopaswa kufanya.

‎Wewe si mshindwa hujajua sababu ya wewe kuwa hai.

‎Watu wakishajua walichozaliwa kufanya,

‎wanabadilika kama mwewe aliyefunguliwa.

‎Wanapaa.

‎Wanang’ara.

‎Wanatesa!

‎Ukweli Ni Huu: Maisha Hayaanzi Kwa Kupata Pesa Yanaanza Kwa Kujielewa.

‎Na huwezi kujielewa bila MWONGOZO.

‎Huwezi kufika bila RAMANI.

‎Huwezi kushinda bila KUJUA UNAPIGANIA NINI.

‎Ukweli mwingine ni huu:

‎Watu wengi wameishia kuishi maisha ya kuigiza.

‎Maisha ya watu wengine.

‎Wanavaa kama wengine.

‎Wanakimbia mafanikio ya wengine.

‎Wanajilinganisha.

‎Wanashindana.

‎Lakini ndani yao kuna MOTO UMEFICHWA.

‎Moto wa ndoto zao.

‎Moto wa kusudi lao.

‎Moto wa ukubwa wao halisi.

‎SULUHISHO?

‎Chukua MWONGOZO huu: “MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.”

‎KWA   KUEDELEA    KUSOMA    VITABU  Ndani yake utajifunza:

✅ Jinsi ya kugundua kusudi lako.

‎Sheria 100 za maisha ya mafanikio.

✅ Jinsi ya kuamka kila asubuhi ukiwa na maana

✅ Jinsi ya kuishi maisha ya tofauti

✅ Jinsi ya kuacha kuigiza na kuanza kuishi maisha yako halisi

‎Bado namkumbuka Huyu Kijana.

‎Kuna kijana mmoja alinitafuta.

‎Alichoka kuishi maisha ya ‘kawaida.’

‎Alikuwa na degree.

‎Alikuwa na kazi.

‎Lakini kila kitu kilionekana kimekosa ladha.

‎Akaanza kunywa.

‎Akaanza kuchelewa kazini.

‎Akaanza kujichukia.

‎Siku moja akaniambia:

‎“Bro, naishi kama si mimi.”

‎Nikampa mwongozo huu.

‎Akarudi baada ya wiki tatu na macho yenye mwanga.

‎Sasa ameanzisha kitu chake.

‎Anaamka kabla ya saa kumi.

‎Anapata pesa.

‎Anapendwa.

‎Anajipenda.

‎Maana sasa anajua KUSUDI lake.

‎Uko Tayari Kuamka?

‎Ama utaendelea kuishi kama ndoto ya mtu mwingine?

👉 Usiishi kama kivuli jifunze kuangaza.

ENDELEA   KUSOMA   VITABU    KILA  SIKU  ILI  UENDELEE  KUANGAZA  NA    KUISHI  KUSUDI  LAKO