Monday, January 6, 2025

HOW TO SUCCEED----SUCCESS PRINCIPLE 14--- " HOW TO USE THE POWER OF PRAYER TO ATTAIN HAPPINESS AND FULFILMENT " -----BY BRIAN ADAMS--- " JINSI YA KUTUMIA NGUVU YA SALA / MAOMBI KUPATA FURAHA NA RIDHIKO LA MOYO " ----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

HOW TO SUCCEED -----SUCCESS PRINCIPLE 13---" HOW TO ATTAIN PHYSICAL WELL BEING "-----BY BRIAN ADAMS----( PDF )-----" JINSI YA KUPATA AFYA YA MWILI "---------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

HOW TO SUCCEED----SUCCESS PRINCIPLE 12--- " HOW TO ATTAIN MENTAL WELL BEING " ----BY BRIAN ADAMS----( PDF )---- " JINSI YA KUPATA AFYA YA AKILI " ----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

HOW TO SUCCEED---SUCCESS PRINCIPLE 15---" HOW TO FORMULATE AN EFFECTIVE SUCCESS PHILOSOPHY TO YOUR DAILY LIFE " -----BY BRIAN ADAMS---( PDF )----JINSI YA KUANDAA / KUUNDA FALSAFA BINAFSI KWA USAHIHI YENYE MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU ------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

 

Thursday, January 2, 2025

" ISHINDE HOFU NDANI YAKO ( FEAR COMPLEX ) NA CHUKUA HATUA FUNGUA / ANZA BIASHARA " ----NA MWL. JAPHET MASATU---------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

 HOFU (  FEAR   COMPLEX  )  IMEUA  NDOTO     ZA    WATU  WENGI  SANA    HAPA  DUNIANI.

HOFU    NI  ADUI    WA   KWANZA  WA   MAFANIKIO     YOYOTE    HAPA   DUNIANI.

HOFU INAWAFANYA  WATU   WENGI    KUENDELEA   KUISHI   MAISHA    YA  CHINI   YA  KIMASKINI.

WATANZANIA  WENGI   WAMEKUWA   WAOGA     SANA  KATIKA  SUALA  ZIMA  LA   KUFANYA   BIASHARA

WATANZANIA WANAOGOPA   KITI  KINAITWA   "  HASARA  "   NA  CHANGAMOTO  MBALILMBALI  ZINAZOJITOKEZA  KATIKA   BIASHARA.

HOFU  YAKO    NDIO   UMASKINI  WAKO....

ACHA    KUJENGA   HOFU  CHUKUA  HATUA  SASA   FUNGUA /   ANZA    BIASHARA  MARA  MOJA......     ACHA     KUSITA SITA.