Thursday, January 2, 2025

" ISHINDE HOFU NDANI YAKO ( FEAR COMPLEX ) NA CHUKUA HATUA FUNGUA / ANZA BIASHARA " ----NA MWL. JAPHET MASATU---------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

 HOFU (  FEAR   COMPLEX  )  IMEUA  NDOTO     ZA    WATU  WENGI  SANA    HAPA  DUNIANI.

HOFU    NI  ADUI    WA   KWANZA  WA   MAFANIKIO     YOYOTE    HAPA   DUNIANI.

HOFU INAWAFANYA  WATU   WENGI    KUENDELEA   KUISHI   MAISHA    YA  CHINI   YA  KIMASKINI.

WATANZANIA  WENGI   WAMEKUWA   WAOGA     SANA  KATIKA  SUALA  ZIMA  LA   KUFANYA   BIASHARA

WATANZANIA WANAOGOPA   KITI  KINAITWA   "  HASARA  "   NA  CHANGAMOTO  MBALILMBALI  ZINAZOJITOKEZA  KATIKA   BIASHARA.

HOFU  YAKO    NDIO   UMASKINI  WAKO....

ACHA    KUJENGA   HOFU  CHUKUA  HATUA  SASA   FUNGUA /   ANZA    BIASHARA  MARA  MOJA......     ACHA     KUSITA SITA.

  

No comments:

Post a Comment