Thursday, January 2, 2025

" ISHINDE HOFU NDANI YAKO ( FEAR COMPLEX ) NA CHUKUA HATUA FUNGUA / ANZA BIASHARA " ----NA MWL. JAPHET MASATU---------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

 HOFU (  FEAR   COMPLEX  )  IMEUA  NDOTO     ZA    WATU  WENGI  SANA    HAPA  DUNIANI.

HOFU    NI  ADUI    WA   KWANZA  WA   MAFANIKIO     YOYOTE    HAPA   DUNIANI.

HOFU INAWAFANYA  WATU   WENGI    KUENDELEA   KUISHI   MAISHA    YA  CHINI   YA  KIMASKINI.

WATANZANIA  WENGI   WAMEKUWA   WAOGA     SANA  KATIKA  SUALA  ZIMA  LA   KUFANYA   BIASHARA

WATANZANIA WANAOGOPA   KITI  KINAITWA   "  HASARA  "   NA  CHANGAMOTO  MBALILMBALI  ZINAZOJITOKEZA  KATIKA   BIASHARA.

HOFU  YAKO    NDIO   UMASKINI  WAKO....

ACHA    KUJENGA   HOFU  CHUKUA  HATUA  SASA   FUNGUA /   ANZA    BIASHARA  MARA  MOJA......     ACHA     KUSITA SITA.

  

Wednesday, January 1, 2025

KITABU 272 : RIWAYA ( HADITHI )---KIKOSI CHA KISASI----HARAKATI ZA WILLY GAMBA---FULL KITABU---NA A . E , MUSIBA-----( PDF )----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924136

 

SUCCESS IN 30 DAYS---- " 1 ST DAY --- " YOURS FOR THE TAKING "---FULL NOTES / HINTS ---BY ARTHUR P. PEREIRA------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

" JIFUNZE UJUZI WA KUUZA NA MASOKO " ----NA MWL. JAPHET MASATU------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136

 Kinachomtofautisha  MTU    mwenye  MAFANIKIO   KATIKA  BIASHARA     na   MTU  ambaye   HAJAFANIKIWA    ni  UWEZO   WA  KUUZA   ZADI  SOKONI.

 Kama  unataka  KUFANIKIWA  /  KUTOBOA     KATIKA  BIASHARA    YAKO  KWEA  MATOKEO  MAKUBWA basi  uwe  tayari   KUJIFUNZA  UJUZI  HUU  MUHIMU  SANA    WA  KUUZA  ILI  UWEZE  KUENDESHA  BIASHARA  YAKO  KWA  UFANISI    MKUBWA. 

  WATU  wengi  WANAANZA   KUWEKEZA   KATIKA   BIASHARA ILA   WENGI  HAWAJUI   NAMNA  GANI  WANAWEZA    KUJITANGAZA  NA  KUJULIKANA  NA  WATU.

BIASHARA   NI  MATANGAZO .  MAKAMPUNI   MAKUBWA KAMA   YA  COCA   COLA ,  PESPI  N,K  HUJITANGAZA  SANA   NA  HUFANIKIWA  SANA .  HAKUNA   UCHAWI  NA  USHIRIKANA  HAPA   NI  MATANGAZO  KWA  KWENDA  MBELE.