Friday, October 18, 2019

UTAJIRI NI ZAO LA FIKRA , SIYO ZAO LA FEDHA

Wengi hufikiri utajiri unaanzia kwenye fedha, lakini hilo siyo sahihi. 
Na ukitaka kudhibitisha hilo, angalia wale wanaopata fedha nyingi kwa wakati mmoja, mfano wanaoshinda bahati nasibu, wanaorithi mali na wanaopata mafao, ndani ya muda mfupi hujikuta wamepoteza fedha zao zote.
Utajiri ni zao la fikra, wanaotajirika wana namna ya tofauti ya kufikiri ambayo masikini hawana. Ndiyo maana kama leo fedha zote duniani zitagawanywa sawa ka kila mtu, baada ya muda mfupi zitarudi kwa wachache matajiri.
Kama ungependa kujifunza namna sahihi ya kufikiri itakayokupeleka kwenye utajiri, JIUNGE   NA  DARASA  LA  SEMINA---GOOGLE  CLASSROOM  ujifunze Kila  Siku  kwa  kulipia  ADA  ya  shs  10000  tu   kwa  mwezi. 



Tuwasiliane  kwa WhatsApp / Call / Message +255 716 924 136 /  + 255 755 400 128   /    + 255 688 361 539 

Kocha  Mwl  Japhet  Masatu, Dar  es  Salaam, Afrika   Mshariki ,  Tanzania

UTATUZI WA MATATIZO NA VIKWAZO KATIKA BIASHARA--------Fursa Afrika Mashariki Blog

UTUNZAJI HESABU ZA BIASHARA NA KUMBUKUMBU-------Fursa Afrika Mashariki Blog