BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Saturday, August 10, 2019
FURSA 16 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA ULINZI NA USALAMA----------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "
SEKTA YA ULINZI ni nyeti sana kulingana na umuhimu wake wa kuleta usalama na maeneo mbalimbali. Kukithiri kwa vitendo vya ugaidi , ujambazi , wizi na unyang"anyi umepelekea serikali , watu, mashirika na makampuni mengi kubuni mbinu kadha wa kadha katika kuimarisha ulinzi. Kujua fursa unazoweza kufanya kwenye sekta hii ya ulinzi , tafadhali endelea kusoma zaidi.Ili
kufahamu baadhi ya FURSA zilizopo kwenye sekta hii unazoweza kuwekeza , tafadhali ,
endelea
kusoma na kufuatana nami katika DARASA LA SEMINA--ONLINE.
( DARASA LA GOOGLE )
MUHIMU : Ili kuendelea Kusoma na Kujifunza Zaidi na Kugundua FURSA mbalimbali zilizojificha na unazoweza kufanya katika SEKTA YA ULINZI NA USALAMA"
JIUNGE na "FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " kwa pamoja na " DARASA LA SEMINA--ONLINE--FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI " ( Google Classrom ) kwa kulipa ADA YA UANACHAMA ( Tshs 10,000 kwa Mwezi ) ili uweze kusoma MAKALA mbalimbali za FURSA na Kuzigundua na kujifunza " FURSA ZINAZOKUZUNGUKA " na Kuzifanyia Kazi na KUFANIKIWA na hatimaye kupata UTAJIRI.
Utaziona MAKALA lakini hutaweza kuzifungua mpaka uwe umejiunga na kuwa mwanachama . UTAJIFUNZA MENGI SANA kupitia DARASA LA SEMINA.
Kujiunga tuma fedha Tshs 10,000 kwa
MPESA NAMBA 0755400128 ( Majina JAPHET CHIBAJILO )
Ndimi Rafiki na Kocha Wako Mwl Japhet Masatu , Dar es salaam ,Tanzania , Afrika Mashariki ,
Kama bado hujajiunga na " FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na "DARASA LA SEMINA---FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI " ( Google Classroom ) tuwasiliane Kwa Maelekezo Zaidi
WhatsApp / Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
Mwl Japhet Masatu ni Mwalimu Kitaaluma , Kocha wa Maisha na Mafanikio , Mshauri , Mjasiriamali.
Mwl Japhet Masatu anaendesha Mafunzo Ya Maisha na Mafanikio kwa Wale Waliojitoa hasa Kufanikiwa Kupitia Programu ya " MAISHA NA WEWE " na " FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI "
ULIZA MASWALI , TOA MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO kwa Email hii:- EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com

TIGO PESA NAMBA 0716924136 ( Majina Japhet Masatu )
AIRTEL MONEY 0688 361 539 ( Majina Japhet Masatu )
(1).Ukishatuma ADA tuma kwa meseji E-MAIL yako. Baada ya hapo tutatumia E--MAIL yako hiyo kukuunganisha na Darasa. Utajifunza mengi usiyoyajua.
(2).Utapokea MASOMO kwa njia ya E-MAIL ambapo ni njia nzuri zaidi ya kuyatunza siku zote pasipo kupotea au kuharibika.

FURSA 24 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA UREMBO NA MITINDO --------------------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "
Swala
la urembo ni swala mtambuka sana. Urembo unajumuisha vitu
kama vile mavazi , nywele , muonekano wa ngozi , sabuni , mafuta ,
mapambo na vipodozi. Kama upo kwenye sekta hii au unataka
kuanzisha FURSA yoyote inayohusika na mambo ya urembo , basi
karibu usome baadhi ya FURSA nyeti zinazopatikana hapa.Ili
kufahamu baadhi ya FURSA zilizopo kwenye sekta hii unazoweza kuwekeza , tafadhali ,
endelea
kusoma na kufuatana nami katika DARASA LA SEMINA--ONLINE.
( DARASA LA GOOGLE )
MUHIMU : Ili kuendelea Kusoma na Kujifunza Zaidi na Kugundua FURSA mbalimbali zilizojificha na unazoweza kufanya katika SEKTA YA UREMBO NA MITINDO"
JIUNGE na "FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " kwa pamoja na " DARASA LA SEMINA--FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI " ( Google Classrom ) kwa kulipa ADA YA UANACHAMA ( Tshs 10,000 kwa Mwezi ) ili uweze kusoma MAKALA mbalimbali za FURSA na Kuzigundua na kujifunza " FURSA ZINAZOKUZUNGUKA " na Kuzifanyia Kazi na KUFANIKIWA na hatimaye kupata UTAJIRI.
Utaziona MAKALA lakini hutaweza kuzifungua mpaka uwe umejiunga na kuwa mwanachama . UTAJIFUNZA MENGI SANA kupitia DARASA LA SEMINA.
Kujiunga tuma fedha Tshs 10,000 kwa
MPESA NAMBA 0755400128 ( Majina JAPHET CHIBAJILO )
Ndimi Rafiki na Kocha Wako Mwl Japhet Masatu , Dar es salaam ,Tanzania , Afrika Mashariki ,
Kama bado hujajiunga na " FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na "DARASA LA SEMINA---FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI " ( Google Classroom ) tuwasiliane Kwa Maelekezo Zaidi
WhatsApp / Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
Mwl Japhet Masatu ni Mwalimu Kitaaluma , Kocha wa Maisha na Mafanikio , Mshauri , Mjasiriamali.
Mwl Japhet Masatu anaendesha Mafunzo Ya Maisha na Mafanikio kwa Wale Waliojitoa hasa Kufanikiwa Kupitia Programu ya " MAISHA NA WEWE " na " FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI "
ULIZA MASWALI , TOA MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO kwa Email hii:- EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com
( DARASA LA GOOGLE )
MUHIMU : Ili kuendelea Kusoma na Kujifunza Zaidi na Kugundua FURSA mbalimbali zilizojificha na unazoweza kufanya katika SEKTA YA UREMBO NA MITINDO"
JIUNGE na "FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " kwa pamoja na " DARASA LA SEMINA--FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI " ( Google Classrom ) kwa kulipa ADA YA UANACHAMA ( Tshs 10,000 kwa Mwezi ) ili uweze kusoma MAKALA mbalimbali za FURSA na Kuzigundua na kujifunza " FURSA ZINAZOKUZUNGUKA " na Kuzifanyia Kazi na KUFANIKIWA na hatimaye kupata UTAJIRI.
Utaziona MAKALA lakini hutaweza kuzifungua mpaka uwe umejiunga na kuwa mwanachama . UTAJIFUNZA MENGI SANA kupitia DARASA LA SEMINA.
Kujiunga tuma fedha Tshs 10,000 kwa
MPESA NAMBA 0755400128 ( Majina JAPHET CHIBAJILO )
TIGO PESA NAMBA 0716924136 ( Majina Japhet Masatu )
AIRTEL MONEY 0688 361 539 ( Majina Japhet Masatu )
(1).Ukishatuma ADA tuma kwa meseji E-MAIL yako. Baada ya hapo tutatumia E--MAIL yako hiyo kukuunganisha na Darasa. Utajifunza mengi usiyoyajua.
(2).Utapokea MASOMO kwa njia ya E-MAIL ambapo ni njia nzuri zaidi ya kuyatunza siku zote pasipo kupotea au kuharibika.
(1).Ukishatuma ADA tuma kwa meseji E-MAIL yako. Baada ya hapo tutatumia E--MAIL yako hiyo kukuunganisha na Darasa. Utajifunza mengi usiyoyajua.
(2).Utapokea MASOMO kwa njia ya E-MAIL ambapo ni njia nzuri zaidi ya kuyatunza siku zote pasipo kupotea au kuharibika.
Ndimi Rafiki na Kocha Wako Mwl Japhet Masatu , Dar es salaam ,Tanzania , Afrika Mashariki ,
Kama bado hujajiunga na " FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " na "DARASA LA SEMINA---FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI " ( Google Classroom ) tuwasiliane Kwa Maelekezo Zaidi
WhatsApp / Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
Mwl Japhet Masatu ni Mwalimu Kitaaluma , Kocha wa Maisha na Mafanikio , Mshauri , Mjasiriamali.
Mwl Japhet Masatu anaendesha Mafunzo Ya Maisha na Mafanikio kwa Wale Waliojitoa hasa Kufanikiwa Kupitia Programu ya " MAISHA NA WEWE " na " FURSA ZA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI "
ULIZA MASWALI , TOA MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO kwa Email hii:- EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com
Friday, August 9, 2019
HII NDIYO NGUZO MUHIMU KWA KIONGOZI YEYOTE YULE
Mpendwa rafiki yangu, Mdau wangu
Unapokuwa kiongozi unakuwa na mamlaka makubwa juu yaw engine, una uwezo wa kuamuru chochote na kikafanyika. Hivyo basi, kama ukisema utumie mamlaka hayo vibaya lazima utaharibu watu. Utatumia vile unavyotaka na matokeo yake cheo kinakupa kiburi utajiona wewe ndiyo wewe hakuna mwingine.
Tukianzia hata uongozi ndani ya familia zetu, kama baba akiwa ni mtu wa kutumia madaraka yake vibaya lazima ataharibu familia yake. Kama umepewa madaraka basi yatumie vizuri hayo madaraka kuleta matokeo mazuri. Watu wakufurahie uwepo wako kwa kufanya makubwa ambayo yanakuwa ni msaada kwa wote.
Mfano baba anaweza kuwa ni kiongozi wa familia lakini huwa anatoa adhabu kwa watoto kupita kiasi au kwa upendeleo sasa hii inaleta mpasuko kwa watoto, inaleta vinyongo na kuwagawa watoto katika familia.
Kama kiongozi unatakiwa kuwa na nguzo muhimu katika uongozi wako ambayo nguzo yenyewe ni msamaha. Msamaha ni nguzo muhimu sana kwa kiongozi yoyote yule. Siyo kila kosa linahitaji adhabu, kama kiongozi unatakiwa uwe na msamaha katika uongozi wako.
Ukiwa ni mtu wa kufuata sheria katika uongozi wako, yaani kila kosa wewe ni adhabu tu basi utawapoteza watu wengi. Kwa sababu watu wengi wana udhaibu wa kibinadamu na huwezi ukakosa kosa kwa mtu kama ni mtu unayesimamia sheria.
Hapa ndiyo inakuja nguzo muhimu sana ya uongozi ambayo ni msamaha. Msamaha unaleta amani kwenye eneo lolote la uongozi. Msamaha unaleta utulivu,kama kuna mahali watu walikuwa hawana utulivu basi baada ya kiongozi wa sehemu husika wanafurahia msamaha huo na kuwaletea utulivu wa wa akili.
Msamaha unafanya eneo kuwa tulivu,mtaa, nchi, mkoa, kijiji, familia na hata dunia kiujumla. Kwa kupitia msamaha unawaleta watu na kusahau hata tofauti walizonazo.
Kama kiongozi unatakiwa uwe unavaa sifa ya uungu ndani yako, kama ingekuwa Mungu anatoa adhabu kama binadamu basi leo hii hakuna ambaye angeweza kusimama lakini kwa kuwa kuna msamaha, tunaweza kujirudi na kuwa watu wapya tena.
Hatua ya kuchukua leo; kama wewe ni kiongozi siyo kila kosa unapaswa kutoa adhabu muda mwingine unasamehe. Na kumbuka kuwa siyo kila kosa ni la kusamehewa ukiwa unatoa msamaha kwenye kila kosa watu wataacha kufuata tena sheria.
Kwahiyo, kumbuka kuwa kila nafasi ya uongozi uliyonayo ni kama vile unamsaidia Mungu, hivyo angalia sifa za Mungu je unavyoongoza watu wako una nguzo za huruma, msamaha na siyo mwepesi wa hasira? Kuwa mtu wa msamaha na usiwe mwepesi wa hasira maana utawapoteza wengi kama siyo kuwamaliza.

JINSI YA KUWA KIONGOZI BORA
Mpendwa rafiki yangu, Mdau wangu Jamii yoyote ile iliyostarabika lazima iwe na kiongozi anayewaongoza. Uongozi ni kitu muhimu sana, kuanzia katika familia zetu mpaka ngazi ya taifa. Eneo ambalo hakuna kiongozi huwa linajulikana kwa sababu wanakuwa hawana mwelekeo.
Ni muhimu sana kila mmoja wetu kujifunza mambo ya uongozi, hata kama huna unaowaongoza basi unajiongoza mwenyewe. Jichukulie wewe ni kiongozi mkubwa na anza kufanya mambo ambayo viongozi wakubwa wanafanya.
JE , NI NAMNA GANI UNAWEZA KUWA KIONGOZI BORA ?
(1). Onesha mfano; kiongozi bora ni yule ambaye anakuwa anaongoza kwa mfano. Kama wewe ni kiongozi eneo lako la kazi unatakiwa kuwa mfano. Kama unasisitiza kuwahi, basi mtu wa kwanza kuwahi atakuwa uwe wewe. Na ukifanya hivyo utashangaa wote wanakuwa wanawahi kazini. Hata siku moja usitegemee kupata kile ambacho hukitoi kwa wengine.
Unapohamasisha juu ya jambo fulani basi hakikisha uwe kinara wa kuwa kwanza katika utekelezaji wa jambo hilo. Usiwe tu mtu wa kuongea bali kuwa mtu wa kuonesha njia, ili na watu wengine wapiti. Utakapoweza kuonesha njia hata wengine nao watakuwa rahisi kupita. Kama kiongozi ukiwa mwoga usitegemee unaowaongoza watakuwa tofauti na wewe.
( 2 ). Uwe mtu makini. Kadiri unavyoonesha umakini katika mambo yako ndivyo watu nao wanakuwa kama wewe. Binadamu wanatabia ya kumsoma mtu ni mtu wa namna gani, wakishajua wewe ni mtu wa namna gani, wala hawawezi kujisumbua tofauti na wewe unavyotaka. Kiongozi unatakiwa kuonesha umakini juu ya yale unayosema.
Kama wewe hujali yale yale unayosema unafikiri naye atajali? Anza kujali kwanza wewe kuonesha kuwa jambo hilo ni muhimu na akiona kiongozi wake yuko makini anajali lazima na yeye atajali. Akili ya binadamu inasetiwa ukishawaseti watu utawaongoza vile unavyotaka wewe na siyo vile wanavyotaka wao.
( 3 ). Uwe mfuatiliaji kweli; kuna viongozi wengine huwa wanaishia kusema tu. Ni bora usiseme kuliko unasema halafu unashindwa kuchukua hatua. Kusema halafu hapana utekelezaji ni sawa na kujidharau. Unamaliza nguvu zako bure tu.
Uwe unafuatilia mambo yako yote jua kile kinachoingia na kinachotoka. Jua kila kitu kuhusu kazi au biashara yako na wale ambao wako chini yako hakikisha wanafuata mwongozo wa kazi. Usitegemee kupata watu makini kama wewe siyo mtu makini. Watu wanakuwa makini kama wewe ukiwa makini.
Hakuna mtu ambaye atakuchezea kama wewe hutaki kuchezewa. Jinsi utakavyojichukulia ndivyo na watu watakavyokuchukulia.
Hatua ya kuchukua leo; kuwa kiongozi wa mfano, kuwa makini, kuwa mfuatiliaji na jali yale unayosema. Ukiishia kusema na watu unaowaongoza wataishia kusikia na kutokufanya.
Hivyo basi, kama unataka mambo yako yaende kama unavyotaka wewe, anza kuwa mtekelezaji wa kwanza wa jinsi vile unavyotaka mambo yako yaende. Utakuwa kiongozi bora kama utakuwa mwaminifu, mwadilifu, mwajibikaji kwenye yale unayosema.
Subscribe to:
Posts (Atom)