Wednesday, August 7, 2019

FURSA 40 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA VIWANDA NA UZALISHAJI ---------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

Je , unahitaji  kuwa  mwekezaji  kwenye  viwanda  na  unahitaji  ELIMU  YA  VIWANDANI. Fursa  ya viwanda ni  biashra  nyeti  sana   katika  maisha  ya  kila  siku kwa  sababu  mtu  anazalisha bidhaa  ambazo  zinatumika  kila  siku. Kuna   fursa   nyingi  sana  kwenye   "SEKTA  YA  VIWANDA  NA  UZALISHAJI" . Ili  kufahamu   "SEKTA  YA  VIWANDA   NA  UZALISHAJI "  ina   FURSA   zipi mbalimbali   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA   NISHATI    NA  MADINI"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa

  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 
Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi

WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539

Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

FURSA 20 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA VYAKULA----------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

Mahitaji   ya  Chakula ni  muhimu kuliko  chochote  kile   ambacho  mwanadamu  anahitaji  kuweza   kuishi  mara  baada  ya  hewa. Hali  hii  hufanya  SEKTA  YA CHAKULA  kuwa  muhimu sana. Ili  kufahamu   SEKTA  YA  CHAKULA "  ina   FURSA   zipi mbalimbali   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA   NISHATI    NA  MADINI"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa

  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 
Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi

WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539

Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

FURSA 21 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA WANYAMA------------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

Umewahi  kuwaza  kuwa  WANYAMA wanaofugwa  nyumbani  wanaweza  kumkwamua  mtu  kutoka  kwenye  dimbwi  la  umaskini Je ,  ungependa  kujua  FURSA  zinazopatikana  kutokana  na  wanyama  tunaowafuga  kama  vile  mbwa? Ili  kufahamu   SEKTA  YA   " WANYAMA"  ina   FURSA   zipi mbalimbali   unazoweza  kufanya , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA   NISHATI    NA  MADINI"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa

  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 
Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi

WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539

Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

JINSI YA KUTENGENEZA KIPATO KUPITIA UANDISHI.

( 1 ). kuandika kuhusu kazi au biashara yako. Hapa unaandika nakala za mauzo, zinazowavutia watu kwenye kazi au biashara unayofanya na kuwashawishi kuja kununua kile unachotoa. Kadiri unavyoweza kandika vizuri, ndivyo unavyoweza kuwavutia wengi na kuuza zaidi.
( 2 ). kuwaandikia wengine. Popote pale ulipo, kuna watu wana bidhaa au huduma nzuri sana, zinazoweza kuwasaidia wengine kupiga hatua zaidi kwenye maisha yao, lakini hawajaweza kuwafikia watu wengi. Hapo kuna fursa ya wewe kuijua vizuri bidhaa au huduma hiyo, kisha kuandika nakala za mauzo na kila anayenunua bidhaa au huduma kupitia nakala zako, basi mtu huyo anakupa wewe kamisheni. Angalia ni bidhaa au huduma zipi unaweza kuzifanyia hivyo, ingia makubaliano na wahusika na anza kuandika nakala za mauzo.
( 3 ). kuwa mwandishi na kuuza kazi zako za uandishi. Unaweza kuwa mwandishi kwenye eneo lolote unalochagua, na kwa kujifunza njia bora za uandishi wenye ushawishi, ukaweza kuwavutia watu kusoma kazi zako na hata kuzinunua pia. Hapa unaweza kuwa na vitabu, kozi au huduma nyingine kama za ushauri ambapo utawavutia watu kuzipata kupitia uandishi wenye ushawishi.
Rafiki, hapo ulipo sasa, unaweza kutumia uandishi wa nakala za mauzo kama sehemu ya kuingiza kipato cha pembeni. Jifunze na kuwa mwandishi bora, andika sana na kuwa na mpango bora wa kutengeneza kipato kupitia uandishi wako.

UJUZI ULIOZALISHA MAMILIONEA WENGI DUNIANI.

“There is virtually no other skill that can make you as much money as copywriting. Nearly all internet millionaires know this secret: more than their product, more than their traffic generation techniques, more than their email campaigns, more than who their joint-venture partners might be, it’s their copywriting that has made them rich.” – Ray Edwards.

Upo ujuzi mmoja ambao umezalisha mamilionea wengi dunia kuliko ujuzi mwingine wowote ule. Ujuzi huo ni uandishi wa nakala za mauzo (copywriting). Kama umewahi kuona tangazo la bidhaa kwenye tv, redio au gazeti na likaingia kwenye fikra zako kiasi cha kuwa unafikiria tangazo hilo muda mwingi basi jua kuna watu walikaa chini na kuandika tangazo hilo, ili kukulenga wewe.

Kama umewahi kusoma maelezo ya kitu fulani na ukatoka ukiwa na hamasa na kuchukua hatua mara moja, basi jua hapo kuna watu wamekaa chini kaundika kitu kinachokulenga wewe, wakiwa wana hatua ambayo wanataka wewe uchukue.

Uandishi wa nakala za mauzo, ni moja ya ujuzi ambao unalipa zaidi duniani, hasa pale mtu anapoweza kufanya kwa ubora wa hali ya juu. Jifunze uandishi wenye ushawishi kama tulivyojifunza kwenye kitabu cha juma hili na utaweza kuongeza kipato chako maradufu.