BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Friday, July 10, 2015
KUWEKA AKIBA NI LAZIMA ILI KUJIPATIA MAENDELEO
Anza kuweka akiba ya T.Shs 1000 kila siku.Tengeneza kisanduku na tumbukiza Tshs. 1000 kila siku.Zikifika Tshs. 50,000 kafungue akaunti ya TAJIRIKA , kwenye Benki ya "Standard Chatered". Kisha endelea kuweka Tshs. 30,000 kila mwezi. Jinsi mapato yako yatavyokuwa yanaongezeka tenga asilimia { 10% } ya mapato yako uweke akiba kila mwezi. Lengo lako liwe ni kuweka Tshs 10,000 au zaidi kila mwezi.
Fedha unyoweka ni kama unapanda mbegu.KUMBUKA HII NDIYO HATUA KUELEKEA UTAJIRI.Faida katika benki hii ni kubwa.Inaanzia asilimia 6.5% kwa kianzio cha Tshs. 50,000 hadi 5,000,000 na asilimia 10% kwa kiwango kinachozidi Tshs. 10,000,000.Fedha utakazoziweka huko usiziguse mpaka ukiona zimekuwa nyingi ndipo utaamua na kupanga UKAZIWEKEZE SEHEMU GANI . FANYA HIMA NDUGU YANGU MTANZANIA KUWEKA AKIBA .
Subscribe to:
Posts (Atom)