BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Sunday, October 5, 2014
JAPHET MASATU ALBUM NO. 6
Huyu ni MWL. JAPHET MASATU Ilikuwa tarehe 25 April 1979 Jumatano saa 11 jioni nilipopiga picha hii . Hapa nilikuwa na Umri wa miaka 4. Nilizaliwa tarehe 23----04---1976 , HOSPITALI YA OCEAN ROAD , DAR ES SALAAM , TANZANIA.
JAPHET MASATU ALBUM NO 5
MWL. JAPHET MASATU AKIWA MAENEO YA MLIMANI CITY, DAR ES SALAAM, TANZANIA KATIKA SEMINA YA VIJANA "BADILISHA FIKRA"
JAPHET MASATU ALBUM NO. 4
MWL. JAPHET MASATU KATIKA PICHA YA PAMOJA NA DR. KISSUI KATIKA SEMINA YA VIJANA MLIMANI CITY , DAR ES SALAAM, TANZANIA AUGUST 2013.
JAPHET MASATU ALBUM NO 3.
MWL. JAPHET MASATU AKIWA MAENEO YA MLIMANI CITY , DAR ES SALAAM, TANZANIA KATIKA SEMINA YA VIJANA, "BADILISHA FIKRA" AUGUST 2013.
JAPHET MASATU ALBUM NO. 2
Japhet Masatu Album No 1
MWL. JAPHET MASATU KULIA AKIWA NA PROFESSA GABRIEL KUSHOTO , MKURUGENZI WA VIJANA TANZANIA KATIKA SEMINA YA VIJANA, MLIMANI CITY , DAR ES SALAAM , TANZANIA AUGUST 2013.
Friday, October 3, 2014
BAKHRESA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA AFRIKA YA MASHARIKI.
HISTORIA YA MAISHA YA BAKHRESA
SAID SALIM BAKHRESA alizaliwa mwaka 1949 mjini ZANZIBAR , alisoma ELIMU YA MSINGI hadi alipofikia umri wa miaka 14 , ambapo aliacha shule kutokana na maisha na Maisha ya familia kuwa magumu hivyo kujiingiza katika BIASHARA ili aweze kuhudumia familia katika mahitaji kama chakula baada ya baba yake kukabiliwa na madeni.
KATIKA miaka ya 1960 , wakati TANZANIA ilipokuwa nchi ya KIJAMAA na KENYA ikifuata siasa za KIBEPARI , BAKHRESA aliweza kununua mabaki ya mazao ya baharini kama , mifupa na magamba ya viumbe wa baharini na kuyauza MOMBASA.Kutokana na tofauti ya kifedha iliyokuwapo wakati huo, aliweza kununua ngozi za viatu kutoka KENYA na kuzitumia kushonea VIATU hapa TANZANIA.Baadae alifanya BIASHARA YA VIAZI , MIKATE na ICE CREAM.
katika miaka ya 1970,s BAKHRESA alifungua na kuendesha BIASHARA YA MGAHAWA. MGAHAWA huo aliununua kutoka kwa mgeni wa KIHINDI ukiwa na na jina la AZAM , jina ambalo analitumia kama nembo { brand } ya bidhaa zake kwa sasa . KATIKA miaka ya 1990,s alianza UWEKEZAJI KATIKA VIWANDA.

Subscribe to:
Posts (Atom)