Saturday, October 26, 2019

TABIA 10 ZA MSHAHARA ZINAZOKUFANYA UENDELEE KUWA MASKINI

1. Mshahara haujawahi kutosha.
2. Ongezeko la mshahara huwa haliendani na ukuaji wa gharama za maisha.
3. Mshahara huwa unaleta uteja, unapozoea kupokea kila mwezi unakuwa kama mlevi.
4. Mishahara huwa haikutani.
5. Mshahara hutengeneza tabia ya ukopaji sugu ambayo inakuwa mzigo zaidi.
6. Mshahara ni rushwa unayopewa ili usiishi ndoto zako.
7. Mwajiri anakulipa kiasi kidogo kiasi kwamba hutaacha kazi.
8. Mshahara unatengeneza wategemezi wengi, unapokuwa na mshahara kila mtu anajua lini umeupata.
9. Huwezi kutajirika kwa mshahara, bali utatajirika kwa kile unachofanya na mshahara huo.
10. Watu wengine ndiyo wanaoamua kiasi gani cha mshahara ulipwe.

Thursday, October 24, 2019

TARATIBU ZA KISHERIA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA BIASHARA-------------Fursa Afrika Mashariki Blog

KUWA MWAMINIFU KWA KILA SIKU / MAZUNGUMZO NA DR. KAZUO INAMORI KUHUSU JITIHADA

KWA NINI TUFANYE KAZI ? / SHINDA VIKWAZO --------NA DR. KAZUO INAMIORI

MAKINIKIA JAMBO MOJA----FUNGUA NJIA YAKO MWENYEWE------NA DR. KAZUO INAMORI

AKILI NZURI, MWILI MZURI ------ISHI MAISHA YA KUJIHOJI-------NA DR. KAZUO INAMORI

FUNGUA ENZI MPYA----IPENDE KAZI YAKO ---------------NA DR. KAZUO INAMORI