Friday, August 9, 2019

BOBEA KATIKA " KUANDIKA , KUONGEA NA KUANDIKA ILI KUWEZA KUWA NA USHAWISHI NA WATU WANUNUE UNACHOUZA---------------" Fursa Afrika Mshariki Blog "

JINSI YA KUWA KIONGOZI BORA

Mpendwa rafiki yangu, Mdau  wangu Jamii yoyote ile iliyostarabika lazima iwe  na kiongozi anayewaongoza. Uongozi ni kitu muhimu sana, kuanzia katika familia zetu mpaka ngazi ya taifa. Eneo ambalo hakuna kiongozi huwa linajulikana kwa sababu wanakuwa hawana mwelekeo.

Kumbe basi, kiongozi ni muhimu kwa sababu anaonesha mwanga au uelekeo wa kule jamii inapotaka kufika. Jamii au watu ambao hawana uelekeo huwa uelekeo wowote unawachukua hii ina maana kwamba hakuna tofauti na bendera fuata upepo.
Ni muhimu sana kila mmoja wetu kujifunza mambo ya uongozi, hata kama huna unaowaongoza basi unajiongoza mwenyewe. Jichukulie wewe ni kiongozi mkubwa na anza kufanya mambo ambayo viongozi wakubwa wanafanya.

JE , NI  NAMNA   GANI   UNAWEZA   KUWA  KIONGOZI  BORA ? 
(1).  Onesha mfano; kiongozi bora ni yule ambaye anakuwa anaongoza kwa mfano.  Kama wewe ni kiongozi eneo lako la kazi unatakiwa kuwa mfano. Kama unasisitiza kuwahi, basi mtu wa kwanza kuwahi atakuwa uwe wewe. Na ukifanya hivyo utashangaa wote wanakuwa wanawahi kazini. Hata siku moja usitegemee kupata kile ambacho hukitoi kwa wengine.
Unapohamasisha juu ya jambo fulani basi hakikisha uwe kinara wa kuwa kwanza katika utekelezaji wa jambo hilo. Usiwe tu mtu wa kuongea bali kuwa mtu wa kuonesha njia, ili na watu wengine wapiti. Utakapoweza kuonesha njia hata wengine nao watakuwa rahisi kupita. Kama kiongozi ukiwa mwoga usitegemee unaowaongoza watakuwa tofauti na wewe.

( 2 ). Uwe mtu makini. Kadiri unavyoonesha umakini katika mambo yako ndivyo watu nao wanakuwa kama wewe. Binadamu wanatabia ya kumsoma mtu ni mtu wa namna gani, wakishajua wewe ni mtu wa namna gani, wala hawawezi kujisumbua tofauti na wewe unavyotaka. Kiongozi unatakiwa kuonesha umakini juu ya yale unayosema.
Kama wewe hujali yale yale unayosema unafikiri naye atajali? Anza kujali kwanza wewe kuonesha kuwa jambo hilo ni muhimu na akiona kiongozi wake yuko makini anajali lazima na yeye atajali. Akili ya binadamu inasetiwa ukishawaseti watu utawaongoza vile unavyotaka wewe na siyo vile wanavyotaka wao.

( 3 ). Uwe mfuatiliaji kweli; kuna viongozi wengine huwa wanaishia kusema tu. Ni bora usiseme kuliko unasema halafu unashindwa kuchukua hatua. Kusema halafu hapana utekelezaji ni sawa na kujidharau. Unamaliza nguvu zako bure tu.
Uwe unafuatilia mambo yako yote jua kile kinachoingia na kinachotoka. Jua kila kitu kuhusu kazi au biashara yako na wale ambao wako chini yako hakikisha wanafuata mwongozo wa kazi. Usitegemee kupata watu makini kama wewe siyo mtu makini. Watu wanakuwa makini kama wewe ukiwa makini.
Hakuna mtu ambaye atakuchezea kama wewe hutaki kuchezewa. Jinsi utakavyojichukulia ndivyo na watu watakavyokuchukulia.
Hatua ya kuchukua leo; kuwa kiongozi wa mfano, kuwa makini, kuwa mfuatiliaji na jali yale unayosema. Ukiishia kusema na watu unaowaongoza wataishia kusikia na kutokufanya.
Hivyo basi, kama unataka mambo yako yaende kama unavyotaka wewe, anza kuwa mtekelezaji wa kwanza wa jinsi vile unavyotaka mambo yako yaende. Utakuwa kiongozi bora kama utakuwa mwaminifu, mwadilifu, mwajibikaji kwenye yale unayosema.

FURSA 14 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA UAGIZAJI NA USAFIRISHAJI WA BIDHAA-----------------" Fursa Afrika Mashariki Blofg "

Katika   zama  hizi  za   SAYANSI, TEKNOLOJIA  na  MAWASILIANO  kuna   matarajio makubwa  sana kukuwa kwa  biashara kati  ya  taifa na  taifa , kanda  na  kanda , bara  na  bara  katika  maswala  mazima  ya  uchumi. Ukuaji  huu  wa  biashara unafungua  milango  mipana   ya  FURSA  zisizoisha ( UNLIMITED  OPPORTUNITIES )  kwa   WAJASIRIAMALI. Watu  hapa  duniani wametengeneza  mabilioni  ya  PESA  kwenye  sekta  hii.Ajabu  ni  kwamba, kwenye  nchi zinazoendelea  FURSA  hii  haijaeleweka  sana. Watu  wengi  wanahangaika  kila  kukicha  kutangaza  bidhaa  na  wengine  wanaishia  kutapeliwa  na  mwishowe  kuachana  na  biashara  hii. Je , umewahi  kuwaza  kufanya  hii   biashara ?? Je , unahitaji  elimu  juu  ya FURSA  hii  ya  kuagiza   bidhaa  au  kusafirisha  bidhaa  kwenye  nchi  mbalimbali  huku  ukitalii  na  kula   maisha ? Kama  jibu  ni  NDIO , basi  ongozana  mimi tupitie  baadhi  ya  FURSA nyeti  zilizopo  kwenye  uwanja   huu   wa  NOTI. Ili  kufahamu   baadhi  ya   FURSA  zilizopo   kwenye  sekta  hii   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufuatana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA  UAGIZAJI  NA  USAFIRISHAJI  WA  BIDHAA"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa

  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 
Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi

WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539

Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

FURSA 13 ZA BIASHARA KATIKA USINDIKAJI WA VYAKULA------" Fursa Afrika Mshariki Blog "

Biashara  ya   Vyakula  ni  biashara  isiyoishiwa  soko   na  ina  uwanja  mpana  sana. Uzalishaji  na  Usindikaji  wa   Vyakula  ni  FURSA  inayolipa  sana.Kuna  wakulima  wengi  sana  asilimia  75%  ya   watanzania  ni  wakulima.Sio  TANZANIA  tu , lakini  hata   nchi  nyingine  zinazoendelea  hutegemea  KILIMO  kama  uti  wa  mgongo  wa  uchumi  wao. Wakulima  wengi  wanazalisha  mazao  na  kuyauza  kwa  kiwango  kikubwa  kipindi  cha  mavuno. Wanafanya  hivyo  kwa  kukosa  mbinu  ya  kuweza  kusindika  mazao  hayo  ili  yaje  yatumike   kipindi  cha  kiangazi. Ukiwa  MJASIRIAMALI  mjanja   kipindi hiki   ndicho cha  kuanza  kusindika  mazao  mengi  uwezavyo , ili  kipindi  cha  kiangazi  kikifika  uweze  kuishi  kama mfalme.  .Kuna   fursa   nyingi  sana  kwenye   "SEKTA  YA  USINDIKAJI  WA   VYAKULA" . Ili  kufahamu   baadhi  ya   FURSA  zilizopo   kwenye  sekta  hii   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA  USINDIKAJI  WA   VYAKULA"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa

  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 
Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi

WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539

Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

Wednesday, August 7, 2019

FURSA 35 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA --------------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

Shughuli  nyingi  za  wanadamu  zimekuwa  sio  rafiki  kwa  mazingira. Ukiangalia  kuanzia  shughuli  za  kilimo, viwanda, michezo  na  ufugaji  utagundua  kuwa   wanadamu  wanahusika  sana  katika  kuharibu  mazingira.Serikali  na  mashirika  mbalimbali  yamekuwa   yakipiga  kelele  juu   ya   utunzaji  wa  mazingira. Ipo  misemo  mingi  ya  kuhamasisha  watu  kutunza  mazingira , Mfano ,  "  Kata  mti panda  mti "  ,  " tunza  mazingira  yakutunze "  na  mingine  mingi . Uharibifu  huu  kwetu  sisi  WAJISIRIAMALI   ni  fursa  nzuri  nzuri  ya  kutengeneza  PESA.Kuna   fursa   nyingi  sana  kwenye   "SEKTA  YA  UTUNZAJI  WA  MAZINGIRA" . Ili  kufahamu   "SEKTA  YA  UTUNZAJI  WA  MAZINGIRA"  ina   FURSA   zipi mbalimbali   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA   NISHATI    NA  MADINI"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa

  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 
Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi

WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539

Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

FURSA 40 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA VIWANDA NA UZALISHAJI ---------------" Fursa Afrika Mashariki Blog "

Je , unahitaji  kuwa  mwekezaji  kwenye  viwanda  na  unahitaji  ELIMU  YA  VIWANDANI. Fursa  ya viwanda ni  biashra  nyeti  sana   katika  maisha  ya  kila  siku kwa  sababu  mtu  anazalisha bidhaa  ambazo  zinatumika  kila  siku. Kuna   fursa   nyingi  sana  kwenye   "SEKTA  YA  VIWANDA  NA  UZALISHAJI" . Ili  kufahamu   "SEKTA  YA  VIWANDA   NA  UZALISHAJI "  ina   FURSA   zipi mbalimbali   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.
( DARASA   LA  GOOGLE )

MUHIMU : Ili   kuendelea  Kusoma  na  Kujifunza  Zaidi na  Kugundua  FURSA  mbalimbali  zilizojificha  na  unazoweza  kufanya  katika  SEKTA  YA   NISHATI    NA  MADINI"

JIUNGE   na   "FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG "  kwa  pamoja  na    " DARASA  LA  SEMINA--FURSA  ZA   BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classrom )   kwa  kulipa  ADA  YA  UANACHAMA ( Tshs 10,000  kwa  Mwezi ) ili   uweze kusoma  MAKALA mbalimbali za  FURSA  na   Kuzigundua na  kujifunza " FURSA  ZINAZOKUZUNGUKA " na  Kuzifanyia  Kazi na  KUFANIKIWA  na   hatimaye  kupata  UTAJIRI.

Utaziona  MAKALA  lakini  hutaweza  kuzifungua  mpaka  uwe  umejiunga  na  kuwa  mwanachama . UTAJIFUNZA  MENGI  SANA kupitia  DARASA  LA  SEMINA.

Kujiunga  tuma   fedha  Tshs  10,000   kwa

  MPESA  NAMBA  0755400128   (  Majina  JAPHET  CHIBAJILO )
        TIGO   PESA   NAMBA   0716924136 ( Majina   Japhet   Masatu )
        AIRTEL  MONEY   0688 361 539  ( Majina  Japhet   Masatu )

(1).Ukishatuma  ADA  tuma kwa  meseji   E-MAIL  yako. Baada  ya  hapo  tutatumia  E--MAIL  yako  hiyo  kukuunganisha  na   Darasa. Utajifunza  mengi  usiyoyajua.

(2).Utapokea   MASOMO  kwa  njia  ya  E-MAIL ambapo  ni  njia  nzuri  zaidi  ya  kuyatunza  siku  zote  pasipo  kupotea  au  kuharibika.
 
Ndimi  Rafiki na  Kocha  Wako  Mwl    Japhet  Masatu , Dar  es  salaam ,Tanzania , Afrika   Mashariki , 

Kama  bado    hujajiunga  na  "  FURSA  AFRIKA  MASHARIKI  BLOG " na  "DARASA  LA  SEMINA---FURSA  ZA  BIASHARA  AFRIKA  MASHARIKI " ( Google  Classroom )  tuwasiliane   Kwa  Maelekezo  Zaidi

WhatsApp /  Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539

Mwl   Japhet   Masatu  ni   Mwalimu  Kitaaluma , Kocha  wa Maisha  na   Mafanikio ,  Mshauri ,  Mjasiriamali.

Mwl   Japhet   Masatu  anaendesha  Mafunzo  Ya  Maisha  na  Mafanikio  kwa   Wale  Waliojitoa  hasa  Kufanikiwa  Kupitia  Programu  ya  "  MAISHA  NA  WEWE "  na  "  FURSA   ZA   BIASHARA   AFRIKA   MASHARIKI "

ULIZA  MASWALI , TOA  MAONI , USHAURI , MAPENDEKEZO, MASULUHISHO  kwa  Email  hii:-  EMAIL fursaafrikamashariki@gmail.com

FURSA 20 ZA BIASHARA KATIKA SEKTA YA VYAKULA----------- " Fursa Afrika Mashariki Blog "

Mahitaji   ya  Chakula ni  muhimu kuliko  chochote  kile   ambacho  mwanadamu  anahitaji  kuweza   kuishi  mara  baada  ya  hewa. Hali  hii  hufanya  SEKTA  YA CHAKULA  kuwa  muhimu sana. Ili  kufahamu   SEKTA  YA  CHAKULA "  ina   FURSA   zipi mbalimbali   unazoweza  kuwekeza , tafadhali ,  endelea  kusoma na kufutana  nami katika  DARASA   LA  SEMINA--ONLINE.